my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Wale wanaume wanaopenda kudate wanawake waliowazidi umri wengi wao walikosa mapenzi ya mama zao tangu wakiwa wadogo mpaka wamekua. Kukosa mapenzi ya mama zao kunawafanya watafute wanawake wakubwa kiumri zaidi yao.
Wanahisi wanawake hao watawalea kama mama zao. Na ndio inavokua mara nyingi wanawake hao wanakuwa wanatimiza majukumu kama ya mama kwa wanaume hao.
Na hii sio kwa wanaume tu hata wanawake walikosa mapenzi ya baba nao wanapendaga kudate wanaume wenye umri mkubwa kuliko wao. Wazazi waleeni vizuri na muwape upendo unaostahiki ili wasijisikie unyonge na upweke au kama wamekosa mapenzi ya wazazi,
Matokeo yake wanaenda kutafuta mijimama na mijibaba iwalee ili wapate upendo waliokuwa wameukosa kutoka kwenu tangu wakiwa watoto wadogo... ✍️