Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnataka kulelewa tuWanawake wakubwa akili zao tayari zimetulia,hawa wapenda tiktok wanakuwa bado wako tuisheni ya maisha.
Kila kitu wanajua,ni ubishi na kuchallenge hata vitu vilivyo wazi ilimradi waonekane na wao kuna input yao kwenye mahusiano.
Na kama wote tunakipato kwanini mnataka huduma kama vile ni wake zetu tayar?! Kodi ya chumba,nauli na hela ya kula kila mwezi.
Hao wanaotuzidi umri hakuna hizo mambo outing, minyoosho kwa bed,support ya mawazo na uchumi,no kufuatiliana na kuhojiana. Simple,direct and peaceful maisha