Wanaume wengi wanaopeleka moto kwenye shoo wengi hatuko romantic na tunabadlisha sana wapenzi

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Ndivyo unavyoweza kuweka baya kuwa sisi Wanaume amabao tuko vizuri kwenye angle ya kupeleka moto, kasoro yetu kubwa hatuko romantic na mahusiano yetu mbali na kigezo cha pesa huwa hayadumu.

Asilimia kubwa wapenzi wetu hawakosi vibeten wa kuboresha amani na hisia zao .

Tuendelee kujibrand vema

Chief Wadiz
 
Mwanamke kama unampelekea moto vizuri hata kama hauko romantiki kiivyo anatulia kwako tu. Kama uko romantiki na unamuacha njiani hamna maana hapo. Piga mashine mpaka mwishowe anaona kama amepigwa shoti hivi.
 
endeleeeni kupeleka moto

Ukipewa kilema unapewa na mwendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…