Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Wanaoongoza kwa kufa ni wanaume but yet wanaonekana sana Hospital ni Wanawake. Nenda Hosp yoyote au hizi za Serikal kama MuHimbili n.k kaangalie walioko kwenye foleni.
Asilimia 80 ni wanawake. Most of them.je wanaume hawaumwi? Wanaumwa ila
1. Wagumu sana kwenda Hosp
2. Wanaumwa wanaendelea kutafuta pesa kwa ajili ya family
Ndo maana wakiumwa huwa wanaumwa kweli na asilimia kubwa hufariki duniya. Sababu huanza enda Hosp hali ikiwa mbaya zaidi au wakiwa wamechelewa.