Wanaume wengi wanaumwa, hawaendi Hospitali. Wanawake wengi wapo Hospitali kuliko wanaume

Wanaume wengi wanaumwa, hawaendi Hospitali. Wanawake wengi wapo Hospitali kuliko wanaume

Hapa ndio ulipopata huo uwiano wa 1:3? Kama ndio basi hujui kutafuta uwiano mkuu maana hapo ni Ke 51.na Me ni 48.4 hata hivyo mimi nimeongelea kiujumla duniani wanawake tumewapita kwa idadi kwa mujibu wa takwimu
No. Hapa nimeweka data ambayo inaonesha wanawake wamezidi. Hiyo ya 1:3 nlisema inasemekana.
 
Sawa ila tafuta uwiano kama utaupata
Nimesema halina mantiki kwa sababu zifuatazo.
1. Mikusanyiko itategemea na interest, umewahi kwenda uwanjani kuangalia.mpira? Je wanawake niwengi? Umewahi kwenda kwenye mabanda au matamasha ya muziki? Je wanawake niwengi?
2. Kama unatumia tawimu za sensa Tanzania wanawake wamewazidi wanaume kwa 2% tena katika age 60+ chini ya hapo ni all most ni uwiano wa 1:1 tatizo nikuwa sisi men tunaishia njiani tunawaacha wanawake wakiishi. Ndiposa utakuta ukifanya sensa kwa age 60+ zaidi ya 70 utawakuta wanawake
 
Hapa ndio ulipopata huo uwiano wa 1:3? Kama ndio basi hujui kutafuta uwiano mkuu maana hapo ni Ke 51.na Me ni 48.4 hata hivyo mimi nimeongelea kiujumla duniani wanawake tumewapita kwa idadi kwa mujibu wa takwimu
Ngoja nikuelewe unavyotaka hivyo na duniani kote wanaume hawaendi hospitali? Halafu hiyo hoja niliyoitoa ilikuwa kuongezea hoja aliyetoa niliye mquote hapo
 
Nimesema halina mantiki kwa sababu zifuatazo.
1. Mikusanyiko itategemea na interest, umewahi kwenda uwanjani kuangalia.mpira? Je wanawake niwengi? Umewahi kwenda kwenye mabanda au matamasha ya muziki? Je wanawake niwengi?
2. Kama unatumia tawimu za sensa Tanzania wanawake wamewazidi wanaume kwa 2% tena katika age 60+ chini ya hapo ni all most ni uwiano wa 1:1 tatizo nikuwa sisi men tunaishia njiani tunawaacha wanawake wakiishi. Ndiposa utakuta ukifanya sensa kwa age 60+ zaidi ya 70 utawakuta wanawake
Mpira ni suala mtu binafsi achana nalo, siasa kadhalika achana nalo, kuumwa ni kwa watu wote
 
Tukienda hospital familia zetu zitakufa kwa njaa,kwa Tz unaweza kushangaa kijana wa just 40 years anategemewa na zaidi ya watu kumi (extended family) then usipotoka kwenda kutafuta kuna watu watalala njaa,mtu hawezi kuwa na vijimafua na kichwa kinauma aende hospital,anapambana na Mungu anatulinda juu kwa juu huwa tunapona tu.Na ndiyo maana Life yetu si lefu sana kama wanawake

NB: MWANAUME NA AHESHIMIWE NA KILA MTU
Amina awajalie neema yake mje muone wajukuu na vitukuu
 
Daah ndo hivyo mna ubishi mwingi sana..Mungu awasaidie...
Yani wanawake tuko very sensitive na afya zetu na wtt wetu na hata za waume zetu..sema sasa ukimwambia nenda hospital anakwambia kuna kiporo ofisini nikakimalizie then nitaenda kesho...kesho anasema ile hali imepotea..sasa kumlazimisha mtu mzima kama mtoto napo ni mtiti...ifikie mahali mjijali afya zenu..mnatafuta mali mnashindwa kuenjoy baadae....
 
Wanaoongoza kwa kufa ni wanaume but yet wanaonekana sana Hospital ni Wanawake. Nenda Hosp yoyote au hizi za Serikal kama MuHimbili n.k kaangalie walioko kwenye foleni.

Asilimia 80 ni wanawake. Most of them.je wanaume hawaumwi? Wanaumwa ila

1. Wagumu sana kwenda Hosp
2. Wanaumwa wanaendelea kutafuta pesa kwa ajili ya family

Ndo maana wakiumwa huwa wanaumwa kweli na asilimia kubwa hufariki duniya. Sababu huanza enda Hosp hali ikiwa mbaya zaidi au wakiwa wamechelewa.
Hii ndo sababu ya msingi, inayotuondoa mapema wanaume na si ile ya kuwasingizia wanawake wanatuua.

Wanaume wengi, ni wagum mno kushughulika na afya zao mpaka watakapohisi hawajiwezi kabisa.
 
Ukitaka kujua hilo tazama wenye maambukizi ya UKIMWI. Nimeishi sehemu yenye "mdomo sana" ambayo kila taarifa binafsi ya raia inajulikana mtaani na hospitali za karibu zote waathirika huwa wanatibiwa sehemu wazi sijui kwanini hawapewi privacy. Waathirika ni wengi ila kila kaya ambayo baba na mama wameathirika, baba anatangulia miaka zaidi ya 10 kufariki. Wakati probability ya kuambukizana within the same year ni kubwa ukiondoa cases chache.

Kuna jamaa inaaminika prediction timeline yake ya kuambukizwa (aliparamia demu alikuwa anajiuza Dar na ni +ve, alikuja likizo) kaugua tunamuona na akafariki ndani ya miaka michache tu. Yeye aligoma kutumia dawa wakati mke wake aliyeletewa alitumia na yupo hadi sasa miaka kama 7 baadae hana shida kiafya.

Wanaume wengi kufuata taratibu za kiafya, kuzingatia dawa hawawezi. Tujitahidi katika hili.
 
Back
Top Bottom