thundercat8
Senior Member
- Nov 25, 2015
- 172
- 384
Kwa birth rate nina mashaka kwa miaka ya hivi katibumiBirth rate kwa sisi wanaume nikubwa na pia Death rate nikubwa vilevile kuliko wanawake worldwide statistics
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa birth rate nina mashaka kwa miaka ya hivi katibumiBirth rate kwa sisi wanaume nikubwa na pia Death rate nikubwa vilevile kuliko wanawake worldwide statistics
Huu ni ukweli asilimia 💯. Umeandika jambo zito sana. Unawaza pesa ya kujitibu ndiyo hiyo hiyo ya kutunzia familia. Unachagua matibabu rahisi ili kusave au unaacha kabisa. Mtu mwenye upendo wa dhati duniani ni mwanaume na hana manung'uniko. Yuko radhi kuifia familia bila kulia lia wala kutaka msaada.Wanaoongoza kwa kufa ni wanaume but yet wanaonekana sana Hospital ni Wanawake. Nenda Hosp yoyote au hizi za Serikal kama MuHimbili n.k kaangalie walioko kwenye foleni.
Asilimia 80 ni wanawake. Most of them.je wanaume hawaumwi? Wanaumwa ila
1. Wagumu sana kwenda Hosp
2. Wanaumwa wanaendelea kutafuta pesa kwa ajili ya family
Ndo maana wakiumwa huwa wanaumwa kweli na asilimia kubwa hufariki duniya. Sababu huanza enda Hosp hali ikiwa mbaya zaidi au wakiwa wamechelewa.
Hizi extended families ni shida. Kuna mmoja alikimbiwa na mke. Walikuwa Arusha kikazi wakarudi dsm ukweni Mnyamala. Dada wawili wote wana watoto hapo nyumbani, wa kiume kaoa anaishi hapo nyumbani, bado mtoto wa anko nk nk. Akimwambia jamaa tuhame tukapange mama mtu anamwambia hapa ni nyumbani kwa nini uondoke. Yeye ndo provider, ni dereva. Binti wa kichaga akasema ote lanye, huyoo akaondoka akapanga chumba cha giza kwa msaada wa jamaa zake. wakampa mtaji wa kuuza uji. Bwana alisusa mwisho akafuata nyayo. Hiyo hatoa ya maendeleo waliyopiga kwa miaka miwili ni kubwa. Yaani watu wamenyoosha figo hapo nyumbani kila kitu kaka...kaka... Shubamiti.Tukienda hospital familia zetu zitakufa kwa njaa,kwa Tz unaweza kushangaa kijana wa just 40 years anategemewa na zaidi ya watu kumi (extended family) then usipotoka kwenda kutafuta kuna watu watalala njaa,mtu hawezi kuwa na vijimafua na kichwa kinauma aende hospital,anapambana na Mungu anatulinda juu kwa juu huwa tunapona tu.Na ndiyo maana Life yetu si lefu sana kama wanawake
NB: MWANAUME NA AHESHIMIWE NA KILA MTU
Wanawake ni wengi kuliko wanaumeStatistics zipi mkuu ? Labda za vijiweni , lakini official always men tupo wengi kuliko wanawake duniani
Sibishani na wajinga mimiWanawake ni wengi kuliko wanaume
Probability ya kuzaa mtoto wa kike pia ni kubwa kuliko wa kiume
Kuna msemo unasema mwanzoni kabisa we are all women before hujapewa bahati ya kua mwanaume
Male XY
Female XX
Ukiikosa hio Y unakojoa umechuchumaa
Duuh hii ilikuwa ngumu kumezaHizi extended families ni shida. Kuna mmoja alikimbiwa na mke. Walikuwa Arusha kikazi wakarudi dsm ukweni Mnyamala. Dada wawili wote wana watoto hapo nyumbani, wa kiume kaoa anaishi hapo nyumbani, bado mtoto wa anko nk nk. Akimwambia jamaa tuhame tukapange mama mtu anamwambia hapa ni nyumbani kwa nini uondoke. Yeye ndo provider, ni dereva. Binti wa kichaga akasema ote lanye, huyoo akaondoka akapanga chumba cha giza kwa msaada wa jamaa zake. wakampa mtaji wa kuuza uji. Bwana alisusa mwisho akafuata nyayo. Hiyo hatoa ya maendeleo waliyopiga kwa miaka miwili ni kubwa. Yaani watu wamenyoosha figo hapo nyumbani kila kitu kaka...kaka... Shubamiti.