Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Tunawatibu watu mahospitalini huku sisi tukiwa hoi kisha wakipona wanaenda kuchepuka,Wanaoongoza kwa kufa ni wanaume but yet wanaonekana sana Hospital ni Wanawake. Nenda Hosp yoyote au hizi za Serikal kama MuHimbili n.k kaangalie walioko kwenye foleni.
Asilimia 80 ni wanawake. Most of them.je wanaume hawaumwi? Wanaumwa ila
1. Wagumu sana kwenda Hosp
2. Wanaumwa wanaendelea kutafuta pesa kwa ajili ya family
Ndo maana wakiumwa huwa wanaumwa kweli na asilimia kubwa hufariki duniya. Sababu huanza enda Hosp hali ikiwa mbaya zaidi au wakiwa wamechelewa.
Ndo uana ume huo.Tunawatibu watu mahospitalini huku sisi tukiwa hoi kisha wakipona wanaenda kuchepuka,
Uanaume Uanaume Uanaume
huu uzi tutautumia kujitutumua sana.Tukienda hospital familia zetu zitakufa kwa njaa,kwa Tz unaweza kushangaa kijana wa just 40 years anategemewa na zaidi ya watu kumi (extended family) then usipotoka kwenda kutafuta kuna watu watalala njaa,mtu hawezi kuwa na vijimafua na kichwa kinauma aende hospital,anapambana na Mungu anatulinda juu kwa juu huwa tunapona tu.Na ndiyo maana Life yetu si lefu sana kama wanawake
NB: MWANAUME NA AHESHIMIWE NA KILA MTU
Wanaume hakuna kudeka. Na wakati mwingine mtu anawaza gharama, anawwaza muda anaoweza poteza, anawaza taharuki anayoweza leta, anawaza kusimama kwa shughuli zake.kweli, nimeona baba akigombana na mama kisa hataki kwenda hospitali wakati anaonesha kuumwa
wanaume sijui tunaonaje mazingira ya kanisani na hospitalini
au tunaona dawa ni 'kujikaza' tu kiume?
Hakuna anayejitutumua ndiyo uhalisia wa mtanzania,kama we ni mtoto wa kishua huwezi kuelewa lakini kama ni common Tanzanians wenzangu tunaoshindia kashata kwenye movement zetu ili kusave kwaajili ya familia watanielewahuu uzi tutautumia kujitutumua sana.
But stats zinasema wanawake ni wengi kuliko wanaume. Au wewe zako zinasemaje? Mpaka sasa Mwanaume mmoja wanawake 3 kama sikosei inavyosemekana.Birth rate kwa sisi wanaume nikubwa na pia Death rate nikubwa vilevile kuliko wanawake worldwide statistics
lakini mkuu kama kweli unajali wanaokutegemea utatunza afya yako ili upate nguvu za kuwahudumiaHakuna anayejitutumua ndiyo uhalisia wa mtanzania,kama we ni mtoto wa kishua huwezi kuelewa lakini kama ni common Tanzanians wenzangu tunaoshindia kashata kwenye movement zetu ili kusave kwaajili ya familia watanielewa
Statistics zipi mkuu ? Labda za vijiweni , lakini official always men tupo wengi kuliko wanawake dunianiBut stats zinasema wanawake ni wengi kuliko wanaume. Au wewe zako zinasemaje? Mpaka sasa Mwanaume mmoja wanawake 3 kama sikosei.
Vizur ongezea idadi ya wanawake na wanaume inalingana? Wanawake ni wengi hivyo Kila ktk mkusanyiko wanawake watakuwa ni wengiWanaoongoza kwa kufa ni wanaume but yet wanaonekana sana Hospital ni Wanawake. Nenda Hosp yoyote au hizi za Serikal kama MuHimbili n.k kaangalie walioko kwenye foleni.
Asilimia 80 ni wanawake. Most of them.je wanaume hawaumwi? Wanaumwa ila
1. Wagumu sana kwenda Hosp
2. Wanaumwa wanaendelea kutafuta pesa kwa ajili ya family
Ndo maana wakiumwa huwa wanaumwa kweli na asilimia kubwa hufariki duniya. Sababu huanza enda Hosp hali ikiwa mbaya zaidi au wakiwa wamechelewa.
Jibu lako halina mantiki mkuuVizur ongezea he idadi ya wanawake na wanaume inalingana? Wanawake ni wengi hivyo Kila ktk mkusanyiko wanawake watakuwa ni wengi
Statistics zipi mkuu ? Labda za vijiweni , lakini official always men tupo wengi kuliko wanawake duniani
Vizur ongezea idadi ya wanawake na wanaume inalingana? Wanawake ni wengi hivyo Kila ktk mkusanyiko wanawake watakuwa ni wengi
Sawa ila tafuta uwiano kama utaupataJibu lako halina mantiki mkuu