Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Hapa ndio ulipopata huo uwiano wa 1:3? Kama ndio basi hujui kutafuta uwiano mkuu maana hapo ni Ke 51.na Me ni 48.4 hata hivyo mimi nimeongelea kiujumla duniani wanawake tumewapita kwa idadi kwa mujibu wa takwimu
Na ndiyo maana mnakufa hovyoHata baba yangu alikuwa mbishi sana kwenda hospital
No. Hapa nimeweka data ambayo inaonesha wanawake wamezidi. Hiyo ya 1:3 nlisema inasemekana.Hapa ndio ulipopata huo uwiano wa 1:3? Kama ndio basi hujui kutafuta uwiano mkuu maana hapo ni Ke 51.na Me ni 48.4 hata hivyo mimi nimeongelea kiujumla duniani wanawake tumewapita kwa idadi kwa mujibu wa takwimu
Nimesema halina mantiki kwa sababu zifuatazo.Sawa ila tafuta uwiano kama utaupata
Sawa , tafuta data ya china, kenya, india, russia, nigeria kisha malizia na data ya worldwide tufanye hitimishoNo. Hapa nimeweka data ambayo inaonesha wanawake wamezidi. Hiyo ya 1:3 nlisema inasemekana.
Ngoja nikuelewe unavyotaka hivyo na duniani kote wanaume hawaendi hospitali? Halafu hiyo hoja niliyoitoa ilikuwa kuongezea hoja aliyetoa niliye mquote hapoHapa ndio ulipopata huo uwiano wa 1:3? Kama ndio basi hujui kutafuta uwiano mkuu maana hapo ni Ke 51.na Me ni 48.4 hata hivyo mimi nimeongelea kiujumla duniani wanawake tumewapita kwa idadi kwa mujibu wa takwimu
Mpira ni suala mtu binafsi achana nalo, siasa kadhalika achana nalo, kuumwa ni kwa watu woteNimesema halina mantiki kwa sababu zifuatazo.
1. Mikusanyiko itategemea na interest, umewahi kwenda uwanjani kuangalia.mpira? Je wanawake niwengi? Umewahi kwenda kwenye mabanda au matamasha ya muziki? Je wanawake niwengi?
2. Kama unatumia tawimu za sensa Tanzania wanawake wamewazidi wanaume kwa 2% tena katika age 60+ chini ya hapo ni all most ni uwiano wa 1:1 tatizo nikuwa sisi men tunaishia njiani tunawaacha wanawake wakiishi. Ndiposa utakuta ukifanya sensa kwa age 60+ zaidi ya 70 utawakuta wanawake
Sijafanya utafiti mkuu hivyo siwezi kujibu hilo swali hapa tunajadili tu. Ils nadhani kwa hizo namba za sensa haliwezi kuonesha athari katika mikusanyikoNgoja nikuelewe unavyotaka hivyo na duniani kote wanaume hawaendi hospitali? Halafu hiyo hoja niliyoitoa ilikuwa kuongezea hoja aliyetoa niliye mquote hapo
Amina awajalie neema yake mje muone wajukuu na vitukuuTukienda hospital familia zetu zitakufa kwa njaa,kwa Tz unaweza kushangaa kijana wa just 40 years anategemewa na zaidi ya watu kumi (extended family) then usipotoka kwenda kutafuta kuna watu watalala njaa,mtu hawezi kuwa na vijimafua na kichwa kinauma aende hospital,anapambana na Mungu anatulinda juu kwa juu huwa tunapona tu.Na ndiyo maana Life yetu si lefu sana kama wanawake
NB: MWANAUME NA AHESHIMIWE NA KILA MTU
Nimekutolea mfano huo kwasababu umesema mikusanyiko yote wanawake niwengi kwasababu ya idadi yao. Jambo ambalo sio kweliMpira ni suala mtu binafsi achana nalo, siasa kadhalika achana nalo, kuumwa ni kwa watu wote
Safi sanauzazi
Tuangalie hii ya wapanapohusiana na uzi kwanza.Sawa , tafuta data ya china, kenya, india, russia, nigeria kisha malizia na data ya worldwide tufanye hitimisho
Mimi sifuati sensa Bali uhalisia na maandiko matakatifu yanasema hivyo km wewe unayaamini.Sijafanya utafiti mkuu hivyo siwezi kujibu hilo swali hapa tunajadili tu. Ils nadhani kwa hizo namba za sensa haliwezi kuonesha athari katika mikusanyiko
Maandiko gani mkuu yanayosema hivyo😂😂Mimi sifuati sensa Bali uhalisia na maandiko matakatifu yanasema hivyo km wewe unayaamini.
Ngoja nikuelewe Ili tuendelee na mengine. NimekuelewaNimekutolea mfano huo kwasababu umesema mikusanyiko yote wanawake niwengi kwasababu ya idadi yao. Jambo ambalo sio kweli
Hii ndo sababu ya msingi, inayotuondoa mapema wanaume na si ile ya kuwasingizia wanawake wanatuua.Wanaoongoza kwa kufa ni wanaume but yet wanaonekana sana Hospital ni Wanawake. Nenda Hosp yoyote au hizi za Serikal kama MuHimbili n.k kaangalie walioko kwenye foleni.
Asilimia 80 ni wanawake. Most of them.je wanaume hawaumwi? Wanaumwa ila
1. Wagumu sana kwenda Hosp
2. Wanaumwa wanaendelea kutafuta pesa kwa ajili ya family
Ndo maana wakiumwa huwa wanaumwa kweli na asilimia kubwa hufariki duniya. Sababu huanza enda Hosp hali ikiwa mbaya zaidi au wakiwa wamechelewa.