Wanaume wengi wanaumwa, hawaendi Hospitali. Wanawake wengi wapo Hospitali kuliko wanaume

Huu ni ukweli asilimia 💯. Umeandika jambo zito sana. Unawaza pesa ya kujitibu ndiyo hiyo hiyo ya kutunzia familia. Unachagua matibabu rahisi ili kusave au unaacha kabisa. Mtu mwenye upendo wa dhati duniani ni mwanaume na hana manung'uniko. Yuko radhi kuifia familia bila kulia lia wala kutaka msaada.
 
Hizi extended families ni shida. Kuna mmoja alikimbiwa na mke. Walikuwa Arusha kikazi wakarudi dsm ukweni Mnyamala. Dada wawili wote wana watoto hapo nyumbani, wa kiume kaoa anaishi hapo nyumbani, bado mtoto wa anko nk nk. Akimwambia jamaa tuhame tukapange mama mtu anamwambia hapa ni nyumbani kwa nini uondoke. Yeye ndo provider, ni dereva. Binti wa kichaga akasema ote lanye, huyoo akaondoka akapanga chumba cha giza kwa msaada wa jamaa zake. wakampa mtaji wa kuuza uji. Bwana alisusa mwisho akafuata nyayo. Hiyo hatoa ya maendeleo waliyopiga kwa miaka miwili ni kubwa. Yaani watu wamenyoosha figo hapo nyumbani kila kitu kaka...kaka... Shubamiti.
 
Statistics zipi mkuu ? Labda za vijiweni , lakini official always men tupo wengi kuliko wanawake duniani
Wanawake ni wengi kuliko wanaume
Probability ya kuzaa mtoto wa kike pia ni kubwa kuliko wa kiume
Kuna msemo unasema mwanzoni kabisa we are all women before hujapewa bahati ya kua mwanaume
Male XY
Female XX

Ukiikosa hio Y unakojoa umechuchumaa
 
Wanawake ni wengi kuliko wanaume
Probability ya kuzaa mtoto wa kike pia ni kubwa kuliko wa kiume
Kuna msemo unasema mwanzoni kabisa we are all women before hujapewa bahati ya kua mwanaume
Male XY
Female XX

Ukiikosa hio Y unakojoa umechuchumaa
Sibishani na wajinga mimi
 
Duuh hii ilikuwa ngumu kumeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…