Wanaume wengine hawajielewi kabisa aosee

Hili ni kosa kubwa sana yaani hata mwanamke akikukuta chumbani na mwanamke mwingine unapaswa kukataa mpaka mwisho. Ukikubali kosa unekwisha
tena unakubali hadharani, jamaa kafanya kosa kubwa sana akubali tu hiyo ndoa ivunjike
 
Huyo jamaa mpuuzi sana hajielewi ni zile type za kusema hata nikichepuka hana la kunifanya. Wakiachwa wanaona wameonewa
Ni huyo mwanamke labda alilazimishwa ndoa hakumpenda jamaa,ila kiuhalisia hakuna kosa hapo,jamaaa ampige chini atafute chuma kipya kibichiiiiiiiiiii maadam hawana mtoto,soko la mwanaume lipo juu sana kwa sasa,akitangaza kutafuta mke dakikq 10 nyingi anapata!!
 
Hili ni kosa kubwa sana yaani hata mwanamke akikukuta chumbani na mwanamke mwingine unapaswa kukataa mpaka mwisho. Ukikubali kosa unekwisha
Hata akikukuta unnyandua itabidi ukatae mpaka mwisho, useme kuwa kaona kiini macho.
 
[emoji3544][emoji15] Kwa mshtuko na masikitiko ya kutoamini Jamaa huyo kwa jina la Chido amejitosa waziwazi kuomba ushauri mtandaoni kufuatia ndoa yake ya miezi mitatu tu kupumulia mashine kwasasa

Chido amesema alimsaliti mke wake kwa kuchepuka na mdada flani na kwa bahati mbaya au nzuri mke wake akajua na kwa ushahidi wote, baada ya mke kujua akaanza kumpuuza mazima mumewe huyo mithili ya mzoga.

Chido amesema alijua atasamehewa tu na mke wake lakini kilichofuatia Chido amesema mke wake kwasasa na yeye anamringishia na aliyekuwa boyfriend wake wa kipindi hivho hali ambayo Chido amesema inamuumiza sana kama mume kwani hakutegemea mkewe angechukua hatua hiyo mapema sana

Amesema baada ya hapo ikanidi amuangukie mkewe kumuomba msamaha huku anaangua kilio lakini bado hajasamehewa na mke wake

Hiyo tisa, kumi mkewe kwasasa amemuambia hahitaji tena kuendelea na hiyo ndoa hivyo aoe mwanamke mwingine na pia amesema familia yote ya mke wake ipo upande wa ndugu yao hakuna anayemuunga mkono yeye mume kwa usaliti aliomfanyia mkewe katika ndoa ya miezi mitatu tu hivyo.Chido hajui afanye nini kuinusuru ndoa yake

Chido alipoulizwa na na mmoja wa waliotoa maoni katika post yake sababu ya kumsaliti mkewe wakati ndoa yao ni mbichi, amesema alichepuka bahati mbaya kwa kuteleza na aliona ni jambo la kawaida kwa mwanume kuchepuka na hakutarajia mkewe angekaza kamba kiasi hicho

Mtoto maoni mwingine alipomwambia labda ajaribu tu kumuomba tena mkewe msamaha anaweza samehewa, Chido nae amesema alishamuomba msamaha mkewe mwanzo kwahiyo hawezi tena kuomba msamaha mara ya pili huku akionekana kuumia zaidi kwa kusema kwanini mkewe amringishie na aliyekuwa ex boyfriend wake
Kushauli ni rahisi, jamaa bado anampenda mke wake hivyo mnavyoshauli amuache ni ngumu sana, kingine huyo mwanmke bado ana mapenzi ya jamaa yake wa,zamani kwa maana dawa ya kisasi sio kilipa kisasi ukifanya hivyo inweza leta maafa, jamaa anatakiwa atulize akili yake , anatakiwa apuuzie, yaani ile umerudi home saa 3 mkeo haujamkuta ww angali chakula kama kioo kula lala akirudi usiulize asubui acha kodi ya meza ondoka zako ukifanya hivi wiki, mwanmke mwenyewe anakaa sawa, kiufupi amwache mwanamke
 
Duh..huyu kweli chino Wana man 😂😂😂. Aendelee alipo ishia wakati wa kuchepuka
 
⚠️😳 Kwa mshtuko na masikitiko ya kutoamini Jamaa huyo kwa jina la Chido amejitosa waziwazi kuomba ushauri mtandaoni kufuatia ndoa yake ya miezi mitatu tu kupumulia mashine kwasasa

Chido amesema alimsaliti mke wake kwa kuchepuka na mdada flani na kwa bahati mbaya au nzuri mke wake akajua na kwa ushahidi wote, baada ya mke kujua akaanza kumpuuza mazima mumewe huyo mithili ya mzoga.

Chido amesema alijua atasamehewa tu na mke wake lakini kilichofuatia Chido amesema mke wake kwasasa na yeye anamringishia na aliyekuwa boyfriend wake wa kipindi hivho hali ambayo Chido amesema inamuumiza sana kama mume kwani hakutegemea mkewe angechukua hatua hiyo mapema sana

Amesema baada ya hapo ikanidi amuangukie mkewe kumuomba msamaha huku anaangua kilio lakini bado hajasamehewa na mke wake

Hiyo tisa, kumi mkewe kwasasa amemuambia hahitaji tena kuendelea na hiyo ndoa hivyo aoe mwanamke mwingine na pia amesema familia yote ya mke wake ipo upande wa ndugu yao hakuna anayemuunga mkono yeye mume kwa usaliti aliomfanyia mkewe katika ndoa ya miezi mitatu tu hivyo.Chido hajui afanye nini kuinusuru ndoa yake

Chido alipoulizwa na na mmoja wa waliotoa maoni katika post yake sababu ya kumsaliti mkewe wakati ndoa yao ni mbichi, amesema alichepuka bahati mbaya kwa kuteleza na aliona ni jambo la kawaida kwa mwanume kuchepuka na hakutarajia mkewe angekaza kamba kiasi hicho

Mtoto maoni mwingine alipomwambia labda ajaribu tu kumuomba tena mkewe msamaha anaweza samehewa, Chido nae amesema alishamuomba msamaha mkewe mwanzo kwahiyo hawezi tena kuomba msamaha mara ya pili huku akionekana kuumia zaidi kwa kusema kwanini mkewe amringishie na aliyekuwa ex boyfriend wake
Ndiye huyo kwenye picha? Huyo mke itakuwa aliteleza tu kuolewa na huyo jamaa!
 
Back
Top Bottom