Wanaume wenye magari: Mungu anawaona

Daaaaah ngoja tukanunue magari kumbe ndo mtego wenu.
 
Umaskini ni mbaya sana. Binti Nampa gari mapema sana, bora apewe mimba kwa kupenda mwenyewe si kwa sababu ya kuchanganywa na gari au simu. Hivi wale waliopewa mimba kwa kuhongwa blackberry wanajisikiaje wakimtazama mtoto?
Umenena kweli umaskini ni kitu kibaya sana, Elimu na kujitegemea kwa watoto wa kike ni jambo la muhimu sana hizi aibu zitaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…