Wanaume wenye magari: Mungu anawaona

Ndo maana staki kudate mwenye gari,akishampa mwanamke lift kuna asilimia 90 ya kumnyapua ndani ya gari maana wakiwa mle kwenye gari si kwa vishawishi vile hasa vitoto vya shule

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahaaa.. unless we mwenyewe uwe na gari, huwezi kuacha kupenda mwenye gari mkuu. Jinsi mnavyopenda kuwa "picked". Gari ina raha yake bhanaa hasa kipindi cha jua kali au mvua mvua hizi.
 
Sawa tumekuelewa Dada ila wengine ndo tulivyo tangu naanza kujua mahusiano bahati mbaya au nzuri sijawahi kutana na mwanaume asiwe na gari na si gari tu na vingine vinavyozidi gari kuliko unavyodhani. Gari lisikufanye umu judge mtu vibaya. Kuna wanaume wana kila kitu na wana upendo wa dhati, hawana nyodo.( sisi wanawake wa kawaida hivi vitu tunavishuhudia kila Siku).

Mimi sina hataa baiskeli ila swala la gari naliona kama basic need yaan sio swala la kushangaa eti mkaka Fulani ana gari luckyline nipagawe? No way sijawahi pagawisha na gari maana mm wenye magari ya maana ndo nakutana nao.sasa niwakatae wakati ndo uwa nakutana nao?

Dear mleta mada awe na gari asiwe na gari kama hakupendi kutoka moyoni. manyanyaso yako pae pale.

Nimalize kwa kusema " its better to cry in a Mercedes Benz than a bicycle".

Dunia haiko fair, sisi Dada zako tumepitia mengi, we live once acha kujitesa ukimpata awe nayo asiwe nayo akikupenda na ukampenda nenda dia muda tunaishi duniani ni mfupi sana. Omba Mungu akupe afya njema.

Happy boxing day. Sijui mm leo nafungua nini? Eboooooo!!!πŸ˜‚
 

Fungua ata mlango 🀣🀣
 
Awe na gari asiwe nalo kama hakupendi kwa dhati darling.. ni kujaza maji kwenye gunia but if he does you are the luckiest.
 
seat za magari zinafaidi sana, assume demu mwenye makalio mengi akikalia seat.

I wish I could be gari's seat.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚aisee hadi kwenye daladala wamenishangaaπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Na watu wote waseme Amina

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Dunia hii uwe na gari shida watakusema kwamba unapita na wake/mademe/ binti za watu. Ukiwa na bodaboda ni yaleyale du. Si tumiliki usafiri gani ili tuepukwe na kadhia hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…