Wanaume wenye mapenzi ya kweli wapo hivi

Hayupo snapchat wala duniani

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Vipi na kuhusu wanawake wenye mapenzi ya kweli! Na wenyewe wakoje?
 
Changamoto ya aina hio ya wanaume hamna mdada mwenye haja nae, wao wanapenda wanaume wenye swaga hata kama hawana mapenzi nao, wanapenda wanaume wanaowaumiza na kuwaliza na kuwaacha na majuto ya muda mrefu!
Hao ndio chaguo namba moja la wadada wetu hawa.
 
Haswaaah!!
Ukitaka kumtambua mwanaume mwenye mapenzi ya dhati,

Kwanza kabisa usithubutu kumpa moyo wako wote katika kipindi cha awali.

Penzi linapoanza kuchipukia, ni vigumu sana kumtambua mtu kama ana mapenzi ya dhati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…