Wanaume wenye"six pack" hutega wanaume zao sio wanawake

Wanaume wenye"six pack" hutega wanaume zao sio wanawake

Wanaobomolewa wapo haijalishi Wana six pack au hawana...
 
Six Packs ni nini
Ni misuri ya tumbo ambayo inaonekana zaidi endapo mtu atafanya mazoezi ya Cardio na sehemu ya turbo mafuta kupungua na misuli kutuna...THAT.

Hii definition ya Six Pack sioni palipotajwa ushoga, anyway Aggy pitahuku hana Six pack, James delicious hana Six pack, Lokole, Noel, Bobrisky, kisura wa mbea, mskari wa zenji, kaoge, Scolfid....list to the Moon.

Mashoga wasiokuwa na Six pack ni wengi kuliko wenye Six pack, kuna mashoga wengi mtaani kuliko gym, nikikwambia unitajie shoga hata mmoja mwenye Six pack huwezi taja hata mmoja.
Huyu Mama Mchungaji kamwona Mchungaji wake ana sixpack alafu watu wanambomoa kipira akajua wanaume wote wenye sixpack wanabomolewa kipira cha nyuma, kiufupi kakariri
 
Ndio maana nikasema haijalishi Wana six pack au hawana....
Mwambie shape za mashoga hazinaga sixpack hata kidogo km wapo basi ni wachache sana, alafu sixpack sio Ile minyamamanya ya kuongezwa gym kwa kubeba chuma na kula poda la kutunisha misuli uwe km the rocky au John Cena, sixpack ni KITU kingine kabisa
 
  • Thanks
Reactions: jo5
Kwa hio wenye vitambi ndio hawatatuliwi kipira?
Issue za kutatuliwa ata kuziongea tu ni aibu kutokana na Mila nadesturi zetu watu weusi , ila kitambi ni dalili ya ugoigoi ,kwamba ata mwili wako umeshindwa kuupangilia .
 
Issue za kutatuliwa ata kuziongea tu ni aibu kutokana na Mila nadesturi zetu watu weusi , ila kitambi ni dalili ya ugoigoi ,kwamba ata mwili wako umeshindwa kuupangilia .
Sasa mleta mada anakwambia wenye vitambi hawatatuliwi kipira, Jambo ambalo sio kweli
 
Mwambie shape za mashoga hazinaga sixpack hata kidogo km wapo basi ni wachache sana, alafu sixpack sio Ile minyamamanya ya kuongezwa gym kwa kubeba chuma na kula poda la kutunisha misuli uwe km the rocky au John Cena, sixpack ni KITU kingine kabisa
Atakuwa ameelewa
 
Back
Top Bottom