Wanaume wenye"six pack" hutega wanaume zao sio wanawake

Kutwa wanaume hao wanashinda JIM
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Usilolijua wengine six park wanazaliwa nazo TU yaan zinakuwepo tu hawana haja ya kwenda gym na wala hawafanyi mazoezi ya kujenga six park Ila zinakuwepo tu zenyewe, hapo umefeli kwa kweli
 
Wanaobomolewa wapo haijalishi Wana six pack au hawana...
 
Huyu Mama Mchungaji kamwona Mchungaji wake ana sixpack alafu watu wanambomoa kipira akajua wanaume wote wenye sixpack wanabomolewa kipira cha nyuma, kiufupi kakariri
 
Ndio maana nikasema haijalishi Wana six pack au hawana....
Mwambie shape za mashoga hazinaga sixpack hata kidogo km wapo basi ni wachache sana, alafu sixpack sio Ile minyamamanya ya kuongezwa gym kwa kubeba chuma na kula poda la kutunisha misuli uwe km the rocky au John Cena, sixpack ni KITU kingine kabisa
 
Reactions: jo5
Kwa hio wenye vitambi ndio hawatatuliwi kipira?
Issue za kutatuliwa ata kuziongea tu ni aibu kutokana na Mila nadesturi zetu watu weusi , ila kitambi ni dalili ya ugoigoi ,kwamba ata mwili wako umeshindwa kuupangilia .
 
Issue za kutatuliwa ata kuziongea tu ni aibu kutokana na Mila nadesturi zetu watu weusi , ila kitambi ni dalili ya ugoigoi ,kwamba ata mwili wako umeshindwa kuupangilia .
Sasa mleta mada anakwambia wenye vitambi hawatatuliwi kipira, Jambo ambalo sio kweli
 
Mwambie shape za mashoga hazinaga sixpack hata kidogo km wapo basi ni wachache sana, alafu sixpack sio Ile minyamamanya ya kuongezwa gym kwa kubeba chuma na kula poda la kutunisha misuli uwe km the rocky au John Cena, sixpack ni KITU kingine kabisa
Atakuwa ameelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…