Wanaume wenye sura mbaya wanaongoza kuoa!

Ahsante dadangu, ndo maana nakupenda manake wanielewa... yaani huyu Demiss huyu!! Yaani niwe na sura kama ya tuvulana mimi!!
Ila jaman nikwambie ukweli mwanzo nilikuwa siwez kuchit chat na wewe kumbe uko vizur

Shikamooo babu wick
 
Na pia mwenye hofu ya Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…