Wanaume wenye sura mbaya wanaongoza kuoa!

Hahh huyu chamdeko anatakiwa undiwa kamati ya weekend!..
Hahahahaha hebu mniwacheee mm mtoto mbichi mkiniundia kamati akiii nitakimbia
 
Demiss hataki kutembea na libabu kama mimi, anataka Fresh meat kama nyie hivi.
Eti nimesikia wanasema kwamba Malcom Lumumba ni mti mkavu hauchimbwi dawa tena. (Its not fair kabisa)
Mshana jr bhn ndo kila kitu kwanguuu
 
Msalimie anko. Ila hapa nakupinga kwa asilimia zote demiss. Kwenye suala la usomi na kuhonga na kuoa lina vary.. hakuna fixed value kwamba wotewako hivyo.. hilo hakuna.
 
hawa wanataka tukashinde MMU akati Intelijensia ndio tuna madini mengi!.. Hii wiki tushinde MMU hakuna namna!.😀
Ila tumeitwa wabaya inabidi ukubaliane nao tu!
Bwahahahahhahahahahahahahahahaha
 
Acha habari zako bhana... how come tunafanya watoto wadogo wakati nashuhudia mwenyewe live? Kwanza tuanze na dadangu Raynavero... umemficha wapi huyu?
Mdogo wangu yule bwana, tena naweza kuwa hata baba kabisa.
Teh teh teh, nilikuwa nataka nimshirikishe matatizo ya kifamilia yaliyotokea nyumbani
 
hahahh!!.. chige unaona umeamsha the tycoon!.. Hahahh huyo bundi hujui tu mwenyewe nahangaika nae!.
Teh teh teh teh,
Cheki lifisi linavyojitetea hapa...
Bwahahahahahaha, mwenye nyota ya bundi ni mimi, eti hawanitaki kisa nina mvi na nimechakaa.
Is this fair mkuu ???? Yaaani wananioneaga sana tu
Dadeki, naona mmeanza kuparuana makende wenyewe kwa wenyewe! Habari hizi njema kwangu ziwafikie binamu zangu wooooooote ambao walitaka kuingizwa King na nyie watu... na hao ni:-
Shunie
Raynavero
Demiss

Eh binamu zangu wapendwa... watch out those 2 guys, ni mandege ngoma hayoo, hayafai kwa supu wala kwa nyama choma!!! Hata ukiyatupa barabarani, fisi mwenyewe anakimbia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…