Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah! Kumbe ukilewa unakuwaga na melody tamu hivi...! Hebu sema "chige nini bwana, anh!"Mm nimelewa hata sjui nikwambie nn
Ooooh marahaba Demiss, mzima wewe ???Shikamoooo
Msalimie anko. Ila hapa nakupinga kwa asilimia zote demiss. Kwenye suala la usomi na kuhonga na kuoa lina vary.. hakuna fixed value kwamba wotewako hivyo.. hilo hakuna.Kwanza sifa walizobarikiwa:
Wengi wana akili na wasomi
Wana mapenzi ya dhati
Ndo wanaongoza kwa UTAJIRI
Wana penda kwa dhati sijui kwa sababu sura zinatisha hawajiamini.
Wanajua kuhongaa.
Siyo wabahili.
Ukipata mchumba wa hivi atataka kujulikana kwa kila mtu na sura lake libaya atataka uongozane naye kila sehemu uwiiiii.
Hawaringi hata kidogo.
Wanajituma sana kuanzia kazini mpaka kitandani.
Wanajua kupetpet mwanamke asikwambie mtu.
Nyongeza :
Ukute umeolewa na mwanaume mwenye sura mbaya alafu mfupi ana ndevu unaweza kuzani kibwengo inabidi ukienda kumtambulisha uanze na neno "SHEMEJI YENU HUYU KASOMA ANA PESAA MUONE HIVI HIVI TU YUKO VIZURI SANA"
Wanaume wa Jf wenye sura mbaya leo tupo pamoja eeeh
Demiss mke wake Mshana.
Mdogo wangu yule bwana, tena naweza kuwa hata baba kabisa.Acha habari zako bhana... how come tunafanya watoto wadogo wakati nashuhudia mwenyewe live? Kwanza tuanze na dadangu Raynavero... umemficha wapi huyu?
Tuko pamoja DemissMzimaaa babu jaman nikiona comment yako kwenye uzi wangu huwa naenjoy sana[emoji255][emoji255][emoji255][emoji255][emoji255]
hahahh!!.. chige unaona umeamsha the tycoon!.. Hahahh huyo bundi hujui tu mwenyewe nahangaika nae!.
Dadeki, naona mmeanza kuparuana makende wenyewe kwa wenyewe! Habari hizi njema kwangu ziwafikie binamu zangu wooooooote ambao walitaka kuingizwa King na nyie watu... na hao ni:-Teh teh teh teh,
Cheki lifisi linavyojitetea hapa...
Bwahahahahahaha, mwenye nyota ya bundi ni mimi, eti hawanitaki kisa nina mvi na nimechakaa.
Is this fair mkuu ???? Yaaani wananioneaga sana tu