Wanaume wenye sura mbaya wanaongoza kuoa!

Wanaume wenye sura mbaya wanaongoza kuoa!

Kwanza sifa walizobarikiwa:

Wengi wana akili na wasomi
Wana mapenzi ya dhati
Ndo wanaongoza kwa UTAJIRI
Wana penda kwa dhati sijui kwa sababu sura zinatisha hawajiamini.
Wanajua kuhongaa.
Siyo wabahili.
Ukipata mchumba wa hivi atataka kujulikana kwa kila mtu na sura lake libaya atataka uongozane naye kila sehemu uwiiiii.
Hawaringi hata kidogo.
Wanajituma sana kuanzia kazini mpaka kitandani.
Wanajua kupetpet mwanamke asikwambie mtu.

Nyongeza :
Ukute umeolewa na mwanaume mwenye sura mbaya alafu mfupi ana ndevu unaweza kuzani kibwengo inabidi ukienda kumtambulisha uanze na neno "SHEMEJI YENU HUYU KASOMA ANA PESAA MUONE HIVI HIVI TU YUKO VIZURI SANA"

Wanaume wa Jf wenye sura mbaya leo tupo pamoja eeeh

Demiss mke wake Mshana.
Nina sura mbaya, nna miaka 32 nmeshatembea na madem 536 tang 2005 mpaka leo cjaoa nna madem wazur knoma pia narnga coz kwang ni kama hospital ya wagonja,kama siumwi nalala na madem 4 au 5 chaajab nna kbamia.Je hapo unasemaj? Nakutana na madem wazur sura Ila wananuka K, uzur syo sura mama uzur ni usaf wa mwil na roho
 
Kuna kitu umesahau kukisema kuhusu wewe mkuu
 
Sura mbaya ndo ikoje demmis[emoji3][emoji3][emoji16]!!
Hapa vipi dadake
1483810707655.jpg
 
Kufa cku mbili wachelew kukuzka uone ktachofuata no watu kkusogelea so mwanamke unakuwa na bwana unaefanana nae sura, rang, kujpodoa, kupaka rang kucha na kujiangalia asubuh kweny kioo na mla chps mayai.Afu et dem unajisifu kwa watu!!! Mpaka lips stick jamaa aktaka kuoa anaoa nyote
 
Back
Top Bottom