Tunajua wanagongwa nje kukamilisha billi tunauchuna tu, hakuna namnaMwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........
Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!
Hapo umeongea Mkuu.Penda mtu kufuatana na kipato chako,kama kipato chako ni 50 penda mwenye matumizi yasiyozidi 50 n.k
Wameowa wanawake waelewaMwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........
Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!
Mkuu haya maneno umeyatoa wapi?Binadamu hataishi kwa kipato kikubwa tu bali kwa kila jema afanyalo!
OkTunafanya miradi ili kusaidia waume zetu. Miradi yetu haihitaji mitaji mikubwa. Uji wa ulezi au wa mchele, makande au chapati. Tena tunaishi kwa amani.
Unasemea hata jfKati ya wanawake 100 anaweza asipatikane hata moja
Nisikilize "mzee baba"Mwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........
Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!
Unaweza kuishi kwenye hali duni ukawa na furaha Joy! Huku unajua unadhikiFuraha inadumu katika hali duni kama ukipata mwanamke anayekupenda kwa dhati mixer ana hofu ya Mungu
Mkuu nakuona unanyemeleahapa napoishi jamaa ameoa mke wake huyo kisu balaa,,yaani ni mtamu si mchezo si unajua madem wa longido,manyara singida huko,,,,sema jamaa anakula adhabu za kutosha yaani mke anataka apatiwe anachotaka ontime,,juzi mke ka demand wahamie kupanga nyumba nzma,,msela ikabidi akope tuu,,before tena aliomba anunuliwe kabati la nguo,jamaa hakua na pesa akaenda kopa,,mme asipo timiza mke anasema anataka arudi kwao
Pesa sabuni ya roho.Pesa kitu gani na tunaishi mara moja?
Sawa sawa....muwe mnaweka marital status kwenye comments zenu ili twende sawa sasa.Maridhiano
Hata nikitaka vyote mume wangu kunitimizia kwa wakati ni ngumu lazima ajikune pale mkono unafika na siwez mpa presha anipe vitu asivokua na uwezo navyo
Nampenda yeye kama yeye hayo mengine yapo siku zote fashen za wanawake hua zinaisha zinakuja mpya tukishindana nazo tutajaza makabati bure
Nafikiri naweza kama nimezama ile ile kwenye dImBwI la mahabaUnaweza kuishi kwenye hali duni ukawa na furaha Joy! Huku unajua unadhiki
Sawa sawa.Sio wanawake wote malimbukeni wa hela. Na pia sisi wanawake tunabadilikaga kulingana na mazingira.
Mfano una mwanamme ana kipato kidogo, ana akili za maendeleo, anakupenda, kukujali na kukuheshimu, anakushirikisha katika budget ya nyumba yenu etc why uruhusu hela iwe ni kikwazo katika maisha yenu.
Sasa umkute mume mwenyewe ni Konki liquidi, deile anapiga maji na kurudi home kalewa hana mia mfukoni, asubuhi ni wale wa fanya mpango mke wangu. Hajali familia, uhuni humo humo. Panaanza kukalikaje kwa mfano? Na kichapo utachezea.
Sawa sawa.Tunafanya miradi ili kusaidia waume zetu. Miradi yetu haihitaji mitaji mikubwa. Uji wa ulezi au wa mchele, makande au chapati. Tena tunaishi kwa amani.
Huyo sio mwanamke, huyo ni gold-digger, hayo hayafanyiki deile, kuwa na mke ni makubaliano ya kuwa familia moja, kupanga kila kitu katika kufanikisha maendeleo ya familia yenu, sio kuwaza shopping, madikodiko etc hayo yapo ila sio kila mara, wala hamtakiwi kulalamika yasipofanyika, maana kuendesha familia ni kazi ya watu wawili baba na mama wa familia, sio baba peke yake na mwanamke akae adekezwe, madikodiko, shopping, matunzo etc hayo yapo tu kwa kila mwanaume ila sio kipaumbele saaana, walioolewa wanajua.Mwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........
Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!
Sawa sawa.Nafikiri naweza kama nimezama ile ile kwenye dImBwI la mahaba
Ndio tatizo la siku hiziSawa sawa.
Bahati mbaya nyingine 80% waoanaji huolewa na wenza ambao hawakuwapenda kidimbwidimbwiw.