Wanaume wenye vipato duni mnamudu vipi kuishi kwa furaha na amani na wake zenu?

Wanaume wenye vipato duni mnamudu vipi kuishi kwa furaha na amani na wake zenu?

Mwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........

Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!
Tunajua wanagongwa nje kukamilisha billi tunauchuna tu, hakuna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........

Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!
Wameowa wanawake waelewa
 
Mwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........

Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!
Nisikilize "mzee baba"

Jitahidi umtimizie mwanamke kwa vile ulivyojaliwa na mola.

Mpe upendo kama unao.
Mpe mahitaji yake kama unayo.
Mpe mtoto kama mbegu unazo.
Mpeti kama kupeti wajua yakhe.

Binadamu haridhiki. Wewe mwenyewe hauridhiki.
 
Furaha inadumu katika hali duni kama ukipata mwanamke anayekupenda kwa dhati mixer ana hofu ya Mungu
Unaweza kuishi kwenye hali duni ukawa na furaha Joy! Huku unajua unadhiki
 
hapa napoishi jamaa ameoa mke wake huyo kisu balaa,,yaani ni mtamu si mchezo si unajua madem wa longido,manyara singida huko,,,,sema jamaa anakula adhabu za kutosha yaani mke anataka apatiwe anachotaka ontime,,juzi mke ka demand wahamie kupanga nyumba nzma,,msela ikabidi akope tuu,,before tena aliomba anunuliwe kabati la nguo,jamaa hakua na pesa akaenda kopa,,mme asipo timiza mke anasema anataka arudi kwao
Mkuu nakuona unanyemelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maridhiano

Hata nikitaka vyote mume wangu kunitimizia kwa wakati ni ngumu lazima ajikune pale mkono unafika na siwez mpa presha anipe vitu asivokua na uwezo navyo

Nampenda yeye kama yeye hayo mengine yapo siku zote fashen za wanawake hua zinaisha zinakuja mpya tukishindana nazo tutajaza makabati bure
Sawa sawa....muwe mnaweka marital status kwenye comments zenu ili twende sawa sasa.
 
Sio wanawake wote malimbukeni wa hela. Na pia sisi wanawake tunabadilikaga kulingana na mazingira.

Mfano una mwanamme ana kipato kidogo, ana akili za maendeleo, anakupenda, kukujali na kukuheshimu, anakushirikisha katika budget ya nyumba yenu etc why uruhusu hela iwe ni kikwazo katika maisha yenu.

Sasa umkute mume mwenyewe ni Konki liquidi, deile anapiga maji na kurudi home kalewa hana mia mfukoni, asubuhi ni wale wa fanya mpango mke wangu. Hajali familia, uhuni humo humo. Panaanza kukalikaje kwa mfano? Na kichapo utachezea.
Sawa sawa.

Unakuwa na mwanamme anamipango mizuri ya kimaendeleo halafu mipango haifanikiwi.[binadamu wengi wapo hapa duniani]

Mipango mizuri ila wapi...vumilia mke wangu ipo siku tutafanikiwa. Siku gani wewe mwanamme kila siku maneno yale yale..ona jirani yetu ndoa yao haina hata miaka kumi..mke anaendesha mme anaendesha. Nimechoka kwa kweli nimechoka.
 
Tunafanya miradi ili kusaidia waume zetu. Miradi yetu haihitaji mitaji mikubwa. Uji wa ulezi au wa mchele, makande au chapati. Tena tunaishi kwa amani.
Sawa sawa.

hapa nawapa hongera wanawake wachakarikaji...nawapenda saana...huwa wananikumbusha jambo.
 
Mwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........

Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!
Huyo sio mwanamke, huyo ni gold-digger, hayo hayafanyiki deile, kuwa na mke ni makubaliano ya kuwa familia moja, kupanga kila kitu katika kufanikisha maendeleo ya familia yenu, sio kuwaza shopping, madikodiko etc hayo yapo ila sio kila mara, wala hamtakiwi kulalamika yasipofanyika, maana kuendesha familia ni kazi ya watu wawili baba na mama wa familia, sio baba peke yake na mwanamke akae adekezwe, madikodiko, shopping, matunzo etc hayo yapo tu kwa kila mwanaume ila sio kipaumbele saaana, walioolewa wanajua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I'm surprised, mwanamke anayetegemea kila kitu mbona hafai.
Kama ni mtu nampenda siwezi kumpa hela, napenda kumsaidia afungue biashara anayopenda kufanya imuingizie kipato asiwe na vishida vya hela ndogo ndogo kila wakati, leo ukimpa milioni itaisha kesho atarudi tena hadi lini? ukifa ukamuachia watoto si atawapeleka orphanage maana mtu ka hana akili ya kuingiza hela hata akili ya kuwatunza watoto haitokuwepo.

Kitu nimekijua wabongo wengi too lazy ila ukimsaidia ukamuonyesha njia kidogo tu akaona kumbe anaweza fanya biashara na akaingiza pesa ndefu then anaanza kukomaa kweli, most people don't believe in themselves wanabaki kutafuta visingizio.
 
Back
Top Bottom