interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Hongera sana Chifu.Mimi Nina kipato kidogo sana na furaha ipo kwenye ndoa yangu kwa mwaka 6 sasa. Ukiina mtu anaayangalia hayo mavigezo utapata taabu sana maana akitokea mtu akawa zaidi yako ndiyo itakuwa mwisho wa furaha yenu. Kwa hiyo haupo kwenye pesa na hayo matakataka mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mtu mwenye furaha muda wote kwenye ndoa so wote wanao kaa bar mpaka saa kumi usiku wanapendanGoja waje waliochoka na wenye furaha na ndoa.
Asante mjomba.Aiseee TZ ina bahati ya kuwa na Wanawake wenye upeo wa namna hii?
Uko smart sana Mama.
Hongera zake Mumeo kubahatika kukuoa ewe Mamaa wa nguvu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake ni watu wasio ridhika na wakipatacho, kijana huna hela utapata tabu sana kwenye ndoa
mkeo kazi anayo kama mentality yako ni hii.
Wewe una hofu ya munguFuraha inadumu katika hali duni kama ukipata mwanamke anayekupenda kwa dhati mixer ana hofu ya Mungu
They sure won't unless the lady doesn't know her worth.Hawa ndo wale hata akirudi saa nane usiku,
Hataki aulizwe anakwambia kwani hauli,haulali!
Nina best yangu kaolewa na mtu anaeamini kwenye pesa
I don't think if they will last longer
They sure won't unless the lady doesn't know her worth.
Ha ha ha ha haHawa watu huwa wanabadilika kwa muda unampenda wa aina ya kipato chako lakin baada ya muda anabadilika anakuwa wa zaid ya kipat chako
Sent using Jamii Forums mobile app
Divorce.She was proud at the first point,
Things started to fall out when she had her first child...
Nowadays she's mourning and regret throughout the day,
I hope you can predict the next step...[emoji28][emoji28]
Humu ndani ni mnapoint ila haya yote ni haya hivi olewa na mwanaume mpenda maendeleo naanaye kujali na kukupenda weae na watoto wako.
Je kama anapenda maendeleo tu na wala hakujali wewe.
Hela hizo anapeleka kwenye maendeleo yake.
Wewe na watoto wako mnakaa njaa.
Haya bhana .Mamaa kama wewe ni full package omba full package kama ni half
Ombea half package pia
Ukisubiri furaha yako uipate kwa mwanamke/mke utapata tabu sana mkuu.Mwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........
Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!
Ukisubiri furaha yako uipate kwa mwanamke/mke utapata tabu sana mkuu.