Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Sawa sawa.Ukiona mwanamke anakulinganisha na mtu mwingine jitafakari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sawa.Ukiona mwanamke anakulinganisha na mtu mwingine jitafakari
Hahahah mkuuu usijali , wee ni maalumu..ngoja tutafute mbuzi
Shukrani,
Shukrani kwa taarifa pia.
NAKAZIA.Money can't buy love. Money can't buy happiness. Money is not everything.
Mara nyingi vitu kama furaha ,amani ,upendo,hekima busara hivi ni zawadi kutoka kwa Mungu kwa watu wake haijalishi masikini au tajiri.Usitegemee eti ukiwa na hela utavipata hivi vitu unajidanganya na ukisema uviforce kwa kutumia hela yako mwisho wa siku utaumizwa kihisia na kuwa na lundo la marafiki fake wasio na msaada katika maisha yako.
Hahahahahaha kweli ...maana huyu rafiki ameanza kuwa Wise ghaflaShetani akiwa katika hali ya kuzeeka hugeuka kuwa malaika[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole yake, kwanini hakumshirikisha Mungu akajiamulia kujiolea Mke wa maonesho wala siyo Mke Mwema?hapa napoishi jamaa ameoa mke wake huyo kisu balaa,,yaani ni mtamu si mchezo si unajua madem wa longido,manyara singida huko,,,,sema jamaa anakula adhabu za kutosha yaani mke anataka apatiwe anachotaka ontime,,juzi mke ka demand wahamie kupanga nyumba nzma,,msela ikabidi akope tuu,,before tena aliomba anunuliwe kabati la nguo,jamaa hakua na pesa akaenda kopa,,mme asipo timiza mke anasema anataka arudi kwao
Kama ukitaka mwanamke nwa dizini hiyo utampata ila ukitaka mwanamke wa kusaidiana nae maisha wala hakuna ugumu hata kama una kipato kidogoMwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........
Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!
Kwanza mmeo anakupa shilingi ngap kwa siku?Mwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........
Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!
Haya yote utayafanya mwanamke akikupenda kwa dhat na kuridhia hali uliyo nayoMwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........
Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!
MKE WA NAMNA HII HUPATIKANA KWA MUNGU PEKEE.kwa uelewa wangu
Mume ni kama mtoto, akishaoa yeye ndio hua juu ya mke na s mke kuamua anavyotaka, mume ni mapenzi na jinsi ya kuishi naye tu halaf wanawake tutambue na uwezo wa wanaume zetu, mume akakope akuridhishe ww mwisho wa siku aumize kichwa kukutaftia kula kukuvisha na mahitaji mengine unampa mzigo ambao mlipaswa muubebe pamoja
Kabla mume wangu hajanioa ninaelewa kipato chake na kaz anayofanya hata kama atakua anaingiza millioni ipo siku pesa hazitakua zinakuja kwa mtiririko huo lazima kuna kupata na kukosa kama mkewe lazima nimfariji wakat wote na s kumpa presha ka hizo
Hiyo ndoa ni ngumu na maisha yake ni mafupu kama njiti ya kiberiti kama mkewe atakua hivo au hajapelekwa kwa somo akafundishwa??
Nisikilize "mzee baba"
Jitahidi umtimizie mwanamke kwa vile ulivyojaliwa na mola.
Mpe upendo kama unao.
Mpe mahitaji yake kama unayo.
Mpe mtoto kama mbegu unazo.
Mpeti kama kupeti wajua yakhe.
Binadamu haridhiki. Wewe mwenyewe hauridhiki.
Funguka hilo jambo wanalokukumbusha Chifu ili uwaelimishe wengine hapa JF.Sawa sawa.
hapa nawapa hongera wanawake wachakarikaji...nawapenda saana...huwa wananikumbusha jambo.
Hawa watu huwa wanabadilika kwa muda unampenda wa aina ya kipato chako lakin baada ya muda anabadilika anakuwa wa zaid ya kipat chakoPenda mtu kufuatana na kipato chako,kama kipato chako ni 50 penda mwenye matumizi yasiyozidi 50 n.k
Mwanamke mwenye upeo wa kuelewa hiyo mipango yako hapigi mikelele hiyo. A smart woman even goes through the proposal anai edit ama anakupa wazo totally different but very potential.
Binadamu hataishi kwa kipato kikubwa tu bali kwa kila jema afanyalo!
Ukimpata wa aina ya kukupenda kulingana na kipato chako haimaanishi ubweteke na kujiamini 100% kuwa una Mke Mwema.Hawa watu huwa wanabadilika kwa muda unampenda wa aina ya kipato chako lakin baada ya muda anabadilika anakuwa wa zaid ya kipat chako
Sent using Jamii Forums mobile app