Wanaume wenye vipato duni mnamudu vipi kuishi kwa furaha na amani na wake zenu?

Wanaume wenye vipato duni mnamudu vipi kuishi kwa furaha na amani na wake zenu?

Shukrani,

Shukrani kwa taarifa pia.
Money can't buy love. Money can't buy happiness. Money is not everything.
NAKAZIA.

"Pesa itanunua starehe/like lkn haitanunua mapenzi ya dhati/love

"Pesa itanunua cheti cha elimu ya juu lakini haitanunua maarifa"

"Pesa itanunua mtu lakini haitanunua uhai"

"Pesa itanunua umaarufu lakini haitanunua hekima"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana Chifu na Mungu alivyo wa ajabu karibu 80% wanaomtegemea huwajalia hivyo vitu hata kama hawana pesa kiviiile sababu Mungu huwategemeza wanaomtumainia yeye pekee.
Mara nyingi vitu kama furaha ,amani ,upendo,hekima busara hivi ni zawadi kutoka kwa Mungu kwa watu wake haijalishi masikini au tajiri.Usitegemee eti ukiwa na hela utavipata hivi vitu unajidanganya na ukisema uviforce kwa kutumia hela yako mwisho wa siku utaumizwa kihisia na kuwa na lundo la marafiki fake wasio na msaada katika maisha yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapa napoishi jamaa ameoa mke wake huyo kisu balaa,,yaani ni mtamu si mchezo si unajua madem wa longido,manyara singida huko,,,,sema jamaa anakula adhabu za kutosha yaani mke anataka apatiwe anachotaka ontime,,juzi mke ka demand wahamie kupanga nyumba nzma,,msela ikabidi akope tuu,,before tena aliomba anunuliwe kabati la nguo,jamaa hakua na pesa akaenda kopa,,mme asipo timiza mke anasema anataka arudi kwao
Pole yake, kwanini hakumshirikisha Mungu akajiamulia kujiolea Mke wa maonesho wala siyo Mke Mwema?

"Si kila king'aacho ni dhahabu"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........

Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!
Kama ukitaka mwanamke nwa dizini hiyo utampata ila ukitaka mwanamke wa kusaidiana nae maisha wala hakuna ugumu hata kama una kipato kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........

Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!
Kwanza mmeo anakupa shilingi ngap kwa siku?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........

Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!
Haya yote utayafanya mwanamke akikupenda kwa dhat na kuridhia hali uliyo nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa uelewa wangu

Mume ni kama mtoto, akishaoa yeye ndio hua juu ya mke na s mke kuamua anavyotaka, mume ni mapenzi na jinsi ya kuishi naye tu halaf wanawake tutambue na uwezo wa wanaume zetu, mume akakope akuridhishe ww mwisho wa siku aumize kichwa kukutaftia kula kukuvisha na mahitaji mengine unampa mzigo ambao mlipaswa muubebe pamoja

Kabla mume wangu hajanioa ninaelewa kipato chake na kaz anayofanya hata kama atakua anaingiza millioni ipo siku pesa hazitakua zinakuja kwa mtiririko huo lazima kuna kupata na kukosa kama mkewe lazima nimfariji wakat wote na s kumpa presha ka hizo

Hiyo ndoa ni ngumu na maisha yake ni mafupu kama njiti ya kiberiti kama mkewe atakua hivo au hajapelekwa kwa somo akafundishwa??
MKE WA NAMNA HII HUPATIKANA KWA MUNGU PEKEE.

HONGERA SANA KUJITAMBUA MAMA, NA ZIDI KUISHI MAISHA YANAYOMPENDEZA MUNGU KATIKA NDOA YENU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwanini uridhike, ili iweje?

Maisha yetu ni kupambana hadi kifo sababu tusipokuwa tunachakarika kwa kutegemea kukaa tu hatuwezi kuwa vizuri kiafya maana tutashambuliwa na kila aina ya magonjwa kama BP, TB, KISUKARI, KANSA, n.k.
Nisikilize "mzee baba"

Jitahidi umtimizie mwanamke kwa vile ulivyojaliwa na mola.

Mpe upendo kama unao.
Mpe mahitaji yake kama unayo.
Mpe mtoto kama mbegu unazo.
Mpeti kama kupeti wajua yakhe.

Binadamu haridhiki. Wewe mwenyewe hauridhiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee TZ ina bahati ya kuwa na Wanawake wenye upeo wa namna hii?

Uko smart sana Mama.

Hongera zake Mumeo kubahatika kukuoa ewe Mamaa wa nguvu.
Mwanamke mwenye upeo wa kuelewa hiyo mipango yako hapigi mikelele hiyo. A smart woman even goes through the proposal anai edit ama anakupa wazo totally different but very potential.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi Nina kipato kidogo sana na furaha ipo kwenye ndoa yangu kwa mwaka 6 sasa. Ukiina mtu anaayangalia hayo mavigezo utapata taabu sana maana akitokea mtu akawa zaidi yako ndiyo itakuwa mwisho wa furaha yenu. Kwa hiyo haupo kwenye pesa na hayo matakataka mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa watu huwa wanabadilika kwa muda unampenda wa aina ya kipato chako lakin baada ya muda anabadilika anakuwa wa zaid ya kipat chako

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimpata wa aina ya kukupenda kulingana na kipato chako haimaanishi ubweteke na kujiamini 100% kuwa una Mke Mwema.

Mshirikishe sana Mungu katika ndoa yako kwa maombi ya mara kwa mara(KUOMBA, KUFUNGA NA KUSALI) maana shetani yuko vitani wakati wote, ndiyomaana Mungu alituasa "ombeni bila kukoma" sababu alijua maisha hayakosi kupitia changamoto mbali mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom