Wanaume wenye watoto wa kike, utajisikiaje ama ulijisikiaje siku binti yako anaolewa?

So Sad kwa kweli,ila kwakua ni natakiwa ya Dini na ubinadamu wacha aolewe ni heshima kwa familia yangu.Ila sitaki mwanangu alie shida sijui baba sina hiki home.nitampa tu atimize furaha yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…