hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nahisi mimi wataniokota kwa kulia na kugaragara. Maana navuta picha ninavyowakunja watoto za watu kama kambare, halafu kamalaika kangu na kenyewe wakakafanyie hivyo hivyo.
On the real though, itauma kama mzazi kwa vile kwenye macho yako daima atakuwa ni binti yako mdogo. Ila ni baraka kubwa kwa dunia yetu ya leo kushuhudia ndoa ya binti yako. Wengi siku hizi kama hawajakuletea mimba nyumbani isiyokuwa na baba watakuletea mwanamke mwenzie anaemuita mume.
So machozi yatatoka kwa furaha na huzuni iliyo nzuri siku nitakayomuozesha binti yangu. Mungu anipe uhai wa kuja kuiona tu.