Wanaume wenye watoto wa kike, utajisikiaje ama ulijisikiaje siku binti yako anaolewa?

Wanaume wenye watoto wa kike, utajisikiaje ama ulijisikiaje siku binti yako anaolewa?

Nahisi mimi wataniokota kwa kulia na kugaragara. Maana navuta picha ninavyowakunja watoto za watu kama kambare, halafu kamalaika kangu na kenyewe wakakafanyie hivyo hivyo.

On the real though, itauma kama mzazi kwa vile kwenye macho yako daima atakuwa ni binti yako mdogo. Ila ni baraka kubwa kwa dunia yetu ya leo kushuhudia ndoa ya binti yako. Wengi siku hizi kama hawajakuletea mimba nyumbani isiyokuwa na baba watakuletea mwanamke mwenzie anaemuita mume.

So machozi yatatoka kwa furaha na huzuni iliyo nzuri siku nitakayomuozesha binti yangu. Mungu anipe uhai wa kuja kuiona tu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
kinachotutoaga machozi wababa public/faragha ni ile furaha na heshima ya kuozesha kwa ndoa, ambayo kila mzazi huitamani bt wachache pekee huipata bahati hii.

pia ile natural bond iliyopo baina ya baba na binti, hutufanya kua emotional sana hasa tunapokumbuka baadhi ya moment, mfano kibinti changu hua kinasubiri kula nami na mara zote napochelewa kinakataa kula kinalala njaa, vuta picha unakuja wakati mtu kama huyu hutoshare nae moment ka ulivozoea lazima tuchozi tutoke.
 
Ila kumbuka hata watoto wa kiume wana upendo mkubwa kwa mama kuliko baba na hata akina ni hivyohivyo kuelekea watoto wa kiume.

Hata hivyo nikupe hongera kwa kuwa na upendo kwa wote baba na mama.
Shukrani mpendwa.!! Kuwapenda watu wanaokupenda kwa dhati huja tu automatic, hutumii hata nguvu, kadri unapokea upendo wa kutosha ndivyo utatoa upendo wa kutosha pia.!
 
kinachotutoaga machozi wababa public/faragha ni ile furaha na heshima ya kuozesha kwa ndoa, ambayo kila mzazi huitamani bt wachache pekee huipata bahati hii.

pia ile natural bond iliyopo baina ya baba na binti, hutufanya kua emotional sana hasa tunapokumbuka baadhi ya moment, mfano kibinti changu hua kinasubiri kula nami na mara zote napochelewa kinakataa kula kinalala njaa, vuta picha unakuja wakati mtu kama huyu hutoshare nae moment ka ulivozoea lazima tuchozi tutoke.
Jamaaani..!!
How I envy that kind of love..!
Jitahidi ukaoneshe upendo, utamsaidia sana kwenye ukuaji wake awe mtu mwema na kwa Ndoa yake pia baadaye..!
 
Jamaaani..!!
How I envy that kind of love..!
Jitahidi ukaoneshe upendo, utamsaidia sana kwenye ukuaji wake awe mtu mwema na kwa Ndoa yake pia baadaye..!
% kubwa ya watoto wa kike mna nafasi ya pekee sana kwa baba zenu, tunawapenda kupita kiasi, hadi kuna nyakati twagombana na mama zenu ni vile tu hatuwaambii.
 
% kubwa ya watoto wa kike mna nafasi ya pekee sana kwa baba zenu, tunawapenda kupita kiasi, hadi kuna nyakati twagombana na mama zenu ni vile tu hatuwaambii.
aaaaw'...!!
tunawapenda sana pia hakika, mpaka huwa tunaomba tupate waume wanaotupenda kama mnavyotupenda ila ndiyo hivyo tena maskiini..!
 
aaaaw'...!!
tunawapenda sana pia hakika, mpaka huwa tunaomba tupate waume wanaotupenda kama mnavyotupenda ila ndiyo hivyo tena maskiini..!
tamanio lako ni zuri, ila tatizo upendo wa baba na mtoto ni watofauti na huo mwingine.
 
Sjui vle baba angu atakavyojiskia, maana n ananipenda saaana hata me najua.

Nkienda tu sehem ya mbali baba ni atanipigia na kunijulia hali kila wakt utadhan nmeenda vtani, hahahahaha spat pcha kwa kweli.

Na me nampenda saaa baba yangu yaaan saaaana, huwa naniambia kamwe nisngependa upate shda mwanangu. Loooh! Mungu ampe maisha marefu baba yangu, sjui nielezee vp lkn baba angu ananipenda saaana. Ingawa me n mkubwa sasa lkn upendo wake kwangu haujawah kupungua [emoji4][emoji4].
Njoo niku-marry ndio utajua basi itakuwaje
 
Huwa inawatokea wazee wengi Sana
Kwenye harusi yangu baada ya Mimi kuniozesha aliondoka hakukaa Tena eneo lile na hatukuonana Tena mpaka nachukuliwa naenda kwa mume baba simuoni
 
% kubwa ya watoto wa kike mna nafasi ya pekee sana kwa baba zenu, tunawapenda kupita kiasi, hadi kuna nyakati twagombana na mama zenu ni vile tu hatuwaambii.
Dah kweli kabisa baba na mtoto wa kike,👍 nampenda sana baba angu, ila nakumbuka mkong'oto kidogo ukizingua mambo ya masomo🤔 ila yote najua ilikua ni ktk kuwekana sawa tu.
 
tamanio lako ni zuri, ila tatizo upendo wa baba na mtoto ni watofauti na huo mwingine.
Naelewa ndiyo rafiki yangu, ila nazungumzia kale ka feeling ka kupendwa ile true love hasa ndiyo tamanio langu'..!
 
Huwa inawatokea wazee wengi Sana
Kwenye harusi yangu baada ya Mimi kuniozesha aliondoka hakukaa Tena eneo lile na hatukuonana Tena mpaka nachukuliwa naenda kwa mume baba simuoni
Jamani pole Jane..!
Mzee alishindwa kuvumilia kuwepo eneo lile nadhani, na ulijiskiaje kuona baba hayupo around..! Hukuhuzunika zaidi..!?
 
Back
Top Bottom