Wanaume wenzangu bado tunaendelea kukumbushana kuwa mchumba hasomeshwi

Wanaume wenzangu bado tunaendelea kukumbushana kuwa mchumba hasomeshwi

KikulachoChako

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
19,185
Reaction score
37,239
Habari za muda huu,

Kama ilivyo ada na kawaida kwa sisi wanaume, tunapaswa kuendelea kukumbushana mambo ya msingi kwa ajili ya kutunza afya zetu za akili na uchumi, ili walau tuishi maisha marefu ingawa yamejaa taabu na mafupi. Ingawa inaonekana kuwa kuna baadhi yetu wanajisahau sana na wengine wanapuuzia, lakini sisi hatutaacha kuwakumbusha kwani tunajua kilio chake ni kikuu.

NB:
Jirani yangu amepoteza fahamu tangu jana baada ya kupata habari za kipenzi cha moyo wake aliyekuwa akimsomesha chuo kimoja maarufu hapa mjini Dar es Salaam. Ni habari nzito ambazo moyo wake umeshindwa kuzihimili.

Tumuombe Mungu apone na awe shuhuda.

1002251018.jpg
 
Hata kama unakipato cha direct ama kifisadi, kugeuzwa mpumbaf na malaya inauma sana asikwambie mtu, unaweza kuua.
Ulisomesha malaya??? Yani ulimtoa mtu pale riva side ukampeleka udsm??? Si ungempeleka veta.

#nshachoka
 
Back
Top Bottom