Wanaume wenzangu bado tunaendelea kukumbushana kuwa mchumba hasomeshwi

Yaaan sitokuja jaribu aiseeeee ...
,cocastic
Lamomy
Kuna shangazi anataka nirudi shule . Nilichofanya nimempa statement ya uwongo kutoka chuo kuwa nadaiwa nasubri mkeka utiki hapa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
Ukitiki tuu nakuja dasalam mapema alafu namkula block au namkula pia kabla ya kumla block
 
Mkuu angalia usije kuwa kichaa.....jasho la mtu hilo
 
Somesha kama ushajipata, hauna shida ndogo ndogo, hela yako ni ya bata.....

Sasa kimtu kinaishi geto humo ndani mali zinahesabika ni pazia, jagi la tokyo, sabufa ya maxiaou, na kapeti.Kinasomesha!!!!!

Ukiachwa si lazma atukane wanawake duniani kote!!
Yani umeniaibisha mno jagi la Tokyo ndio nanywea nalo uji sa hii๐Ÿ˜ญ
 
Yaaan sitokuja jaribu aiseeeee ...
,cocastic
Lamomy
Kuna shangazi anataka nirudi shule . Nilichofanya nimempa statement ya uwongo kutoka chuo kuwa nadaiwa nasubri mkeka utiki hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji106][emoji106][emoji106]
Ukitiki tuu nakuja dasalam mapema alafu namkula block au namkula pia kabla ya kumla block
Dogoo utahaha sanaa, mashangazi hawana tyme na wee tenaa, hujistukiii tyuuu? Poleeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Somesha kama ushajipata, hauna shida ndogo ndogo, hela yako ni ya bata.....

Sasa kimtu kinaishi geto humo ndani mali zinahesabika ni pazia, jagi la tokyo, sabufa ya maxiaou, na kapeti.Kinasomesha!!!!!

Ukiachwa si lazma atukane wanawake duniani kote!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulisomesha malaya??? Yani ulimtoa mtu pale riva side ukampeleka udsm??? Si ungempeleka veta.

#nshachoka
Mkuu malaya ni mtu yeyote anayehodhi wapenzi zaidi ya mmoja.

Hao wa Riverside ni wachache, 'undercover' ni wengi kuliko wanaofahamika.

Hicho chama pendwa ni kigumu ingawa kina wanachama wengi kuliko wanachama wa Ccm.

Nawe mkuu waweza kukuta ni mwanachama mwenye kadi isiyosajiliwa.
 
Hiyo ni defense mechanisma tu baada ya kupigwa na kitu kizito.....

Pole, siku zote nasisitiza somesha kama hauna pesa ya mawazo, kama unaungaunga mwenyewe hadi uuze eneo la makaburi ya kwenu ukasomeshe utatukana sana mzee baba.
 
Back
Top Bottom