KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Kabla ya kupenda jipende mwenyewe kwanza......Hiyo kibunda ya kumsomesha kula maisha 😊View attachment 3021319
Msiba mzito umemkuta bwana mdogo.....akipona ni bahati SanaAnasomeshwa dini tu........
Mapenzi hayana mjanja wala profesa......ukiingia kwenye mtego imeisha hiyoMbona professor janabi mwenyewe hapa ametugeuka tena yeye amelipia ada kwa dola sio Amazon college kweli mapenzi hayana mwenyewe.
Yaani kafanyaje, ongezapo nyama nyama mkuu.Msiba mzito umemkuta bwana mdogo.....akipona ni bahati Sana
Hata kama unakipato cha direct ama kifisadi, kugeuzwa mpumbaf na malaya inauma sana asikwambie mtu, unaweza kuua.Wanaume wakware, wanaume wenye kipato cha mawazo, kipato cha kuunga unga na gundi.....mchumba hasomeshwi.
Ulisomesha malaya??? Yani ulimtoa mtu pale riva side ukampeleka udsm??? Si ungempeleka veta.Hata kama unakipato cha direct ama kifisadi, kugeuzwa mpumbaf na malaya inauma sana asikwambie mtu, unaweza kuua.
Kwa ufupi......Yaani kafanyaje, ongezapo nyama nyama mkuu.
Kujua tu kwamba alihonga ada hakunogeshi, wekapo kastori kidogo.
hii pia tulifuta hamkuwepo kwenye kikao kwani...??Tulishakubaliana anasomeshwa Bible study tuu