Wanaume wenzangu hivi huwa mnabadilisha boxer mara ngapi kwa wiki?

Wanaume wenzangu hivi huwa mnabadilisha boxer mara ngapi kwa wiki?

We mzee hauvai boxer unaacha makende yako yakininginia tu au?
Nina boxer maalumu ya kwenda nayo bafuni tu..hiyo naweza ivaa hata wiki..nikitoka bafuni naivua haivaliwi tena.

Ila tubadilike aisee
 
Nina boxer maalumu ya kwenda nayo bafuni tu..hiyo naweza ivaa hata wiki..nikitoka bafuni naivua haivaliwi tena.

Ila tubadilike aisee
Kwa mwanaume ni kazi ngumu labda wale wavulana wa dar mkuu
 
Mimi nilikuwa navaa 2 days ila wakati huu wa joto navaa siku moja tu.
Niko dar, huko Njombe nasikia mnavaa siku 5-7 kwa wiki.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ndiyo mzee, yani alidhani ni chache akazinunia kwa fujo kumbe siyo. Lo! kabloo mwenyewe. Ananigombeza balaa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom