Wanaume wenzangu hivi huwa mnabadilisha boxer mara ngapi kwa wiki?

Wanaume wenzangu hivi huwa mnabadilisha boxer mara ngapi kwa wiki?

Wanaume mnaovaa boxer bila shaka mlianza kuvaa chupi kubwa kwanza.
 
Wanaume wenzangu hivi huwa mnabadilisha boxer zenu mara ngapi kwa wiki? Au mpaka itoe kile kiharufu cha ubeberu

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
..

Cc Zero IQ
Inategemea ukk wapi kama upo dar yeny joto inavaa mara 1au 2 tu hurudii tena ila kama ni sehem ya barid kama nyanda za juu kusini mf mbeya, iringa au hata Arusha au kirimanjaro unavaa hata ck 7
 
Siku nikikumbuka kufua boxer huwa najisemea kumbe rahisi hivi,ntakua nafanya hv kilasiku wakati wakuoga afu inakuja kujirudia baada ya wiki pale nimehisi kijiharufu wakati naitundika ilinipige maji.
 
Mimi sivai boksa.
Hazitoshei mkuyati wangu mana nj mnene na mrefu wakuu.
NB:I'm not selling manifesto.
IMG_20181123_085846.jpeg
 
Siku nikikumbuka kufua boxer huwa najisemea kumbe rahisi hivi,ntakua nafanya hv kilasiku wakati wakuoga afu inakuja kujirudia baada ya wiki pale nimehisi kijiharufu wakati naitundika ilinipige maji.
Hakika unasema kweli mkuuu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom