Wanaume wenzangu hivi huwa mnabadilisha boxer mara ngapi kwa wiki?

Wanaume wenzangu hivi huwa mnabadilisha boxer mara ngapi kwa wiki?

Nipo menopause mkuu mwezini siingii
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nimependa tu ile Rangi nyekundu kwenye shirt yako hapo kwa Avatar na hiyo namba 10 achana na skert nyeusi
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nimependa tu ile Rangi nyekundu kwenye shirt yako hapo kwa Avatar na hiyo namba 10 achana na skert nyeusi
No 10 tena iko wapii sio skirt hiyo ni jeans
 
Mkuu hatamm niko dar lkn sijawahi badilisha hivyo,nawaza vp kama unaenda kazini unabebaga mkoba wenye boxer au!!!!!
 
Sijaelewa kabisa haya asante jamani kwa kupenda hivyo vitu
Sijapenda bure karibu tuanze kuitafuna pensheni yangu ya 25% huku tukisubiria ile ya 75℅ ya kila mwezi.
 
Inategemea uko mkoa gani.

Km uko mkoa wa joto km dar, tanga basi siku 2/3

Km uko mkoa wa baridi km mbeya,iringa wiki siku 7/14 kabsa
Utakuwa unabeba mkoba wa boxer ukiwa unaenda kazini au.kweli uwanaume kazi kwelikweli!!!
 
Mi juzi nilinunua kama tatu hivi mpyaaaa lkn cha ajabu sijavaa hata moja leo ni siku ya tano na nipo dar,sitaki kuinusa nisijetapika bure maana huo uvundo sipati picha!
 
Back
Top Bottom