Wanaume wenzangu huwa mnarudi nyumbani saa ngapi?

Wanaume wenzangu huwa mnarudi nyumbani saa ngapi?

Mwanaume unatakiwa uwe UNPREDICTABLE usikaririwe et Baba anarudigi saa 2 usiku au saa 11 jioni. NEVER.

Mwenye akili timamu nafkiri tumeelewana. Na kingine BABA hutakiwi kurudi nyumbani mikono mitupu. Beba hata Mkate watoto wanywe chai asubuh. Au pipi ukikosa vyote.
Na ikiwezekana zamia siku mbili tatu upo kwa mchepuko unasema nipo kwenye vikao vya bodi
 
Mimi maximum saa tano usiku. But most of the time saa moja nipo nyumbani. But napenda wakuta watoto bado hawajalala. Sipendi wife kuwalaza watoto mapema hasa napotoka jioni kuonana ma washikaji.
Inategemea….mara moja moja kuna siku za out hapo narudi muda wowote ili mradi jua lisionekane, siku zingine saa 12 mpka saa mbili…kila mwezi pia angalau mara tatu natoka nae narudi mida ya wanga, asione kuwa nafaidi sana mwenyewe
 
Mimi maximum saa tano usiku. But most of the time saa moja nipo nyumbani. But napenda wakuta watoto bado hawajalala. Sipendi wife kuwalaza watoto mapema hasa napotoka jioni kuonana ma washikaji.
Wewe mpumbavu sana.
 
Mkeo kama anajua kuandika vizuri, ingefaa akufundishe kuandika ukirudi nyumbani 😃
Au siyo!

Kwamba mwamba hapa akiona jioni imekaribia asipite kwa wana kuwapa hi ni moja kwa moja hom kwa mama la mama akale pindi la kuandika siyo?
 
Mimi maximum saa tano usiku. But most of the time saa moja nipo nyumbani. But napenda wakuta watoto bado hawajalala. Sipendi wife kuwalaza watoto mapema hasa napotoka jioni kuonana ma washikaji.
Sina uhakika kama naelewa muda wa kutosha wa kulala mtoto, kutokana na umri watoto wa natakiwa walale si chini ya Masaa nane, na pia mtoto akizoeshwa kuamka mapema ni afya kwake... Sasa we unataka mtoto avumilie starehe zako kwa kukosa usingiz I? Kwanini usiende nyumbani kwanza ndio ukutane na wenzio?
 
Nmekuelewa mkuu but muda wangu ni huo hauzidi saa tano..mostly saa mona saa tatu nipo home
 
Mwanaume wa kiislamu hatakiwi kuwa nje ya nyumba baada ya swala ya inshaa (saa mbili usiku)

So approximately amefanya uradi, dua...anatakiwa hadi saa mbili na nusu usiku awe nyumbani Kama Hana sababu za msingi like biashara etc.

Na mke ana haki ya kudai talaka na kurudisha mahari na kujivua Kama mume anachelewa kurudi bila sababu.
Nimezaa na mwanamke wa kiislamu wa Tanga tena mwenye asili ya Pemba. Kiukweli unachokisema ndicho alichokua anaishi nacho yule mwanamke na hapo ndio ilikua sababu ya mimi kushindwa kabisa kuhimili ndoa bubu ile. Nachojua mimi huwezi nipangia nipangia muda wa kurudi nyumbani ila mimi nilikua najitahidi walau saa 3 mpaka sa 4 nisharudi bado ilikua ugomvi. Tuliachana kwa sababu nyingine
 
Sasa ndugu zangu turudi nyumbani mapema bar zitalindwa na nani?

Etii, vitu vingine tuwe tunafikiria vizuri😂😂😂
 
Back
Top Bottom