Wanaume wenzangu huwa mnarudi nyumbani saa ngapi?

Wanaume wenzangu huwa mnarudi nyumbani saa ngapi?

Mimi maximum saa tano usiku. But most of the time saa moja nipo nyumbani. But napenda wakuta watoto bado hawajalala. Sipendi wife kuwalaza watoto mapema hasa napotoka jioni kuonana ma washikaji.
Mpumbavu!
 
Muda wowote

Usituige wenzako mabaharia

Ova
 
Cha msingi kila mtu awe na funguo zake... 😆 😆 😆
 
Mimi hata saa tano asubuhi unaweza nikuta nimesharudi nyumbani inategemea na siku ilivyokaa.
 
Umenifanya nikawaza sana , most times narudi nimechoka sana mpaka mood imekata,nahisi mke wangu huelewa hectic hours zangu ofisini.
Ila watoto unakuta wanataka muda nicheze nao ila huwa nimechoka most times .
Wanaume naona tutapumzika mbinguni tu .
Back to mada , anytime kabla saa tatu huwa nshawasili.
 
Na mbinguni hupumziki inatakiwa uwe mzimu wa kulinda ukoo
 
Mapematu maranyingi saa moja nikicherewa saana saa mbili napo nakuwa karibu na kijiwe cha maskani.
 
Sisi marehemu baba alikuwa anarudi kabla ya taarifa ya habari ya RTD kila siku ya Mungu. Lakini alitufundisha tusiige utaratibu wake hata kidogo tutakapooa, tusitabirike muda wa kurudi. Na mimi ndio natembea humo humo, kuna muda saa 11 jioni na sitoki, mara saa 4 usiku.

Kitu kingine tulifundishwa ukichepuka ukadakwa na wife usikiri kosa kataa kata kata ila jirekebishe.
 
Back
Top Bottom