DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,579
- 3,798
Kurudi ni asubuhi wazeeMimi maximum saa tano usiku. But most of the time saa moja nipo nyumbani. But napenda wakuta watoto bado hawajalala. Sipendi wife kuwalaza watoto mapema hasa napotoka jioni kuonana ma washikaji.
Na ikiwezekana zamia siku mbili tatu upo kwa mchepuko unasema nipo kwenye vikao vya bodiMwanaume unatakiwa uwe UNPREDICTABLE usikaririwe et Baba anarudigi saa 2 usiku au saa 11 jioni. NEVER.
Mwenye akili timamu nafkiri tumeelewana. Na kingine BABA hutakiwi kurudi nyumbani mikono mitupu. Beba hata Mkate watoto wanywe chai asubuh. Au pipi ukikosa vyote.
Na unarudi bila taarifa..Na ikiwezekana zamia siku mbili tatu upo kwa mchepuko unasema nipo kwenye vikao vya bodi
Inategemea….mara moja moja kuna siku za out hapo narudi muda wowote ili mradi jua lisionekane, siku zingine saa 12 mpka saa mbili…kila mwezi pia angalau mara tatu natoka nae narudi mida ya wanga, asione kuwa nafaidi sana mwenyeweMimi maximum saa tano usiku. But most of the time saa moja nipo nyumbani. But napenda wakuta watoto bado hawajalala. Sipendi wife kuwalaza watoto mapema hasa napotoka jioni kuonana ma washikaji.
Hapana sio kweli mkuu wenyewe ndo wanakawia saana kurudi home maana wanakimbia madeni[emoji3][emoji3]Walimu saa 10 tu wapo kwao
Wewe mpumbavu sana.Mimi maximum saa tano usiku. But most of the time saa moja nipo nyumbani. But napenda wakuta watoto bado hawajalala. Sipendi wife kuwalaza watoto mapema hasa napotoka jioni kuonana ma washikaji.
Au siyo!Mkeo kama anajua kuandika vizuri, ingefaa akufundishe kuandika ukirudi nyumbani 😃
Sina uhakika kama naelewa muda wa kutosha wa kulala mtoto, kutokana na umri watoto wa natakiwa walale si chini ya Masaa nane, na pia mtoto akizoeshwa kuamka mapema ni afya kwake... Sasa we unataka mtoto avumilie starehe zako kwa kukosa usingiz I? Kwanini usiende nyumbani kwanza ndio ukutane na wenzio?Mimi maximum saa tano usiku. But most of the time saa moja nipo nyumbani. But napenda wakuta watoto bado hawajalala. Sipendi wife kuwalaza watoto mapema hasa napotoka jioni kuonana ma washikaji.
Nmekuelewa mkuu but muda wangu ni huo hauzidi saa tano..mostly saa mona saa tatu nipo homeSina uhakika kama naelewa muda wa kutosha wa kulala mtoto, kutokana na umri watoto wa natakiwa walale si chini ya Masaa nane, na pia mtoto akizoeshwa kuamka mapema ni afya kwake... Sasa we unataka mtoto avumilie starehe zako kwa kukosa usingiz I? Kwanini usiende nyumbani kwanza ndio ukutane na wenzio?
Nimezaa na mwanamke wa kiislamu wa Tanga tena mwenye asili ya Pemba. Kiukweli unachokisema ndicho alichokua anaishi nacho yule mwanamke na hapo ndio ilikua sababu ya mimi kushindwa kabisa kuhimili ndoa bubu ile. Nachojua mimi huwezi nipangia nipangia muda wa kurudi nyumbani ila mimi nilikua najitahidi walau saa 3 mpaka sa 4 nisharudi bado ilikua ugomvi. Tuliachana kwa sababu nyingineMwanaume wa kiislamu hatakiwi kuwa nje ya nyumba baada ya swala ya inshaa (saa mbili usiku)
So approximately amefanya uradi, dua...anatakiwa hadi saa mbili na nusu usiku awe nyumbani Kama Hana sababu za msingi like biashara etc.
Na mke ana haki ya kudai talaka na kurudisha mahari na kujivua Kama mume anachelewa kurudi bila sababu.
Walimu wengi hapa, penye walimu wengi wanafunzi tunapoteana.Tulia ujifunze