Mpumbavu!Mimi maximum saa tano usiku. But most of the time saa moja nipo nyumbani. But napenda wakuta watoto bado hawajalala. Sipendi wife kuwalaza watoto mapema hasa napotoka jioni kuonana ma washikaji.
[emoji1]Mwanaume mpumbavu pia anavunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe...
Unajisifia upumbavu wa kuwaacha watoto macho mpka saa 5...
Nifafanue upumbavu wako wewe hujijui!Fafanua mkuu
Form ya kuchagua mgombea wa urais wa wanaume 2024-2054 Tanzania ita chapishwa moja tu yenye jina la LuchaMi huwa narudi saa 7 usiku naamsha na majirani kuwasalimia nijue wameshindaje nimewaonya wasilale kabla sijarudi
Na mbinguni hupumziki inatakiwa uwe mzimu wa kulinda ukooUmenifanya nikawaza sana , most times narudi nimechoka sana mpaka mood imekata,nahisi mke wangu huelewa hectic hours zangu ofisini.
Ila watoto unakuta wanataka muda nicheze nao ila huwa nimechoka most times .
Wanaume naona tutapumzika mbinguni tu .
Back to mada , anytime kabla saa tatu huwa nshawasili.
Yeahhh wee mwanaume bana no limits!