Wanaume wenzangu, munawezaje kumpa mwanamke mimba halafu munakimbia malezi?

Wanaume wenzangu, munawezaje kumpa mwanamke mimba halafu munakimbia malezi?

Witmak255

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2019
Posts
3,264
Reaction score
5,450
Kheri ya mwaka mpya wakuu!

Najiuliza hapa, huu ukatili kwa hawa malaika wasio na hatia mnawezaje kuwafanyia? Tena yawezekana mama zao mliwatongoza kwa kuwabembeleza sana mpaka wakawakubalia at the END unakutana na mdada maskini wa Mungu kachoka na kitoto chake mgongoni hajui hata atakilisha nini, huku baba akiwa hajali.

Binafsi, naandika thread hii kukiwa na wadada zaidi ya watano wengine wana watoto na wengine wana mimba zangu japo sina mpango wa kuoa hata mmoja wapo lakini nitawahudumia wanangu mpaka watakapofika umri wa kujitegemea.

Mabaharia msikimbie watoto na kuwapa mizigo wadada mtaani, wanapitia mateso yasiyoelezeka. Kama huwezi kulea mtoto mwambie ukweli ajikinge na mimba.

Haijalishi una migogoro gani na mpenzi/mke wako; hiyo isiwe chanzo cha mtoto kupitia mateso yasiyomhusu.

Baharia tunza na hudumia damu yako.
 
Wamama wangekuwa wanayafikiria haya kabla ya mimba ingekuwa vizuri saana.

Stori zako zilikuwaje hadi ukazaa na wanawake watano wote?
 
Story ndefu mkuu
Sikatai kama kuna wanaume wehu wanaotelekeza familia zao.

Ila fuatilia stori nyingi ukiachana na hizo kuna stori behind the scene. Ila mwisho mwwnaume hana cha kuthibitisha aliyofanyiwa ila mwanamke anacho.
 
Wanawake watono kwa mpigo sio ajabu kwasababu mwanaume kwa kawaida anaweza kuwapa mimba wanawake tisa kwa siku moja, ila tukio la ajabu utaweza kuwalea wanao hadi umri wa kujitegemea UKIMWI utakuacha salama kweli!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwadunda,
UKIMWI sio ugonjwa mkuu, ni Upungufu wa Kinga Mwilini ambao unaweza kusababishwa hata kwa lishe Duni au ugonjwa wowote Kama Malaria....au unamaanisha Virusi, na Kama ni hiyo wewe umejuaje Kama ndo ugonjwa utakaoniua na sio wewe?
 
Sikatai kama kuna wanaume wehu wanaotelekeza familia zao.

Ila fuatilia stori nyingi ukiachana na hizo kuna stori behind the scene. Ila mwisho mwwnaume hana cha kuthibitisha aliyofanyiwa ila mwanamke anacho.
Hahaha haya mambo haya
 
Wanawake watono kwa mpigo sio ajabu kwasababu mwanaume kwa kawaida anaweza kuwapa mimba wanawake tisa kwa siku moja, ila tukio la ajabu utaweza kuwalea wanao hadi umri wa kujitegemea UKIMWI utakuacha salama kweli!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Anyway nayaheshimu mawazo yako
 
hii chai ya kuwazalisha wanawake wa5
 
Wanawake haswa mabinti wanataka utamu na protini ya sperm wanadai inafanya ngozi kuwa nyororo na ya kuvutia, wakipewa mimba wanalalamika
 
Acha kuchezea hisia za watu na kuja hapa kujisifia ujinga wa kuzalisha wanawake watano , this is completely rubish .
Kuwa na watoto kila kona does not make you a real man badilisha fikra zako .
Dunia inaenda kasi mno watu mnajisifia pumba tu hamna hata hofu ya Mungu .

Aiseee be a real man na sio kutoa hela ya matumizi tu ni pamoja kuiishi na watoto kama familia

Halafu unajifanya una uchungu na wanaozalisha wanawake na kuwakimbia hauna tofauti nao kabisa

sijui ulikupuruka wkti unaandika hii thread i pity you km unaandika ukweli .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaiyo wewe unaamini hao watoto watano wote unaozaa nje na huna mpango wa kuwaoa watapata malezi ya baba? Au unaamini kumtumia mamake elfu 50 kwa mwezi inatosha...Wote watano na utakao zaa namkeo.. wote utasomesha shule nzuri? Wote utakuwepo kwenye maisha yao Kama baba...

Nakuona Ni mpumbavu mmoja kujisifia kuwa unawanawake watano umewapa na Wana mimba na wengine Wana watoto.

Baba sio kutuma hela tu, malezi ya mtoto Tabia za mtoto nk utawezaje kurekebisha hao wore watano ukiacha utakao zaa na mkeo.

Tafakari unachokifanya Wala hutakiwi kuja kujisifia hapa, ungekaaa kimya ungeonakana wamaana tu.

Kwa hiyo niwakatae mkuu....usípende kutumia matumis
 
Back
Top Bottom