Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,737
Mkuu hatukimbii.ila mateso tunayopewa na mama zao. Unajitahidi kutoa kwa moyo anajibu haitoshi ongeza! Ukikaa naye anakwambia ondoka kwa matusi wanangu watakula. Mwanaume suruali. Mara anakuona km unamloga mwanae. Anakufukuzisha kazi kwa kutembea na bosi sasa ntampa nini na kazi mimefukuzwa? Unasemaje kuhusu hili?