Kwaiyo wewe unaamini hao watoto watano wote unaozaa nje na huna mpango wa kuwaoa watapata malezi ya baba? Au unaamini kumtumia mamake elfu 50 kwa mwezi inatosha...Wote watano na utakao zaa namkeo.. wote utasomesha shule nzuri? Wote utakuwepo kwenye maisha yao Kama baba...
Nakuona Ni mpumbavu mmoja kujisifia kuwa unawanawake watano umewapa na Wana mimba na wengine Wana watoto.
Baba sio kutuma hela tu, malezi ya mtoto Tabia za mtoto nk utawezaje kurekebisha hao wore watano ukiacha utakao zaa na mkeo.
Tafakari unachokifanya Wala hutakiwi kuja kujisifia hapa, ungekaaa kimya ungeonakana wamaana tu.
Sent using
Jamii Forums mobile app