Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Hapana kuwa ulivyo ila usitegemee kufanyiwa kama unavyofanya,wanawake wengi wanauwezo wa kufanya mambo mengi wakati mmoja wanaume sisi tunazingatia jambo moja kwa wakati ..ni hayo tuu kujibiwa haraka sio kipimoLicha ya kuwa busy na majukumu ila siwezi kuona message ya mtu alafu nikaamua kukaa kimya bila kujibu.
Yamegeuka madhara kwangu naumia sana pale mtu napomtumia message alafu achele kujibu.
Wanaume wenzangu naomba mnifundishe tabia ya kujifanya nipo busy
Kwaiyo na mimi nifanye nini ili angalau kuonekana niko busy na mambo yangu maana nimezidi sasa kuwa nice GuyHapana kuwa ulivyo ila usitegemee kufanyiwa kama unavyofanya,wanawake wengi wanauwezo wa kufanya mambo mengi wakati mmoja wanaume sisi tunazingatia jambo moja kwa wakati ..ni hayo tuu kujibiwa haraka sio kipimo
Tutoleee mambo ya ushoga humu kumya lya myamya yako
Una dalili hizo.Tutoleee mambo ya ushoga humu kumya lya myamya yako
Hapana mkuu tunatofautiana wewe jibu lakini usitegemee reply ya hapo hapo hawa wanawake sio Bot,kuna mda ataona ataendlea na mambo mengine afu wewe ukichelewa utaulizwa just be uKwaiyo na mimi nifanye nini ili angalau kuonekana niko busy na mambo yangu maana nimezidi sasa kuwa nice Guy
Sawa kaka ahsante sanaHapana mkuu tunatofautiana wewe jibu lakini usitegemee reply ya hapo hapo hawa wanawake sio Bot,kuna mda ataona ataendlea na mambo mengine afu wewe ukichelewa utaulizwa just be u
Kamwambie mama ako awe careful sio mimi we matyako niniUna dalili hizo.
Be careful mkuu.
Ukumbi unanuka Mavi.
Na haya matusi ndiyo yanathibitisha umama wako.Kamwambie mama ako awe careful sio mimi we matyako nini
Taarab na mapapai ni kulwa na doto
Vibaya mno. Kahama alipigwa Dj alipoweka Taraabu kwenye harusi!Ukumbi unanuka Mavi.
Nakuona kama mtu mwenye hasira za karibu sana kwasababu sio kawaida kuumizwa na vitu vidogo kama hivyo.naumia sana pale mtu napomtumia message alafu achele kujibu.