daslam ishakuharibu na wew wamekuingiza kwenye utapeli wa ramli😏Nakuona kama mtu mwenye hasira za karibu sana kwasababu sio kawaida kuumizwa na vitu vidogo kama hivyo.
Pia utakuwa unaumia ukinyimwa salamu, ama ukicheleweshewa huduma kidogo nk. Nakosea?
Upo sahihi kabisaNakuona kama mtu mwenye hasira za karibu sana kwasababu sio kawaida kuumizwa na vitu vidogo kama hivyo.
Pia utakuwa unaumia ukinyimwa salamu, ama ukicheleweshewa huduma kidogo nk. Nakosea?
TUjibu upesi sisi wanaume wenzako na mambo yaki officials tu .Licha ya kuwa busy na majukumu ila siwezi kuona message ya mtu alafu nikaamua kukaa kimya bila kujibu.
Yamegeuka madhara kwangu naumia sana pale mtu napomtumia message alafu achele kujibu.
Wanaume wenzangu naomba mnifundishe tabia ya kujifanya nipo busy
Sijui, ngoja wajuzi waje watueleze.Upo sahihi kabisa
Nitumie njia gani kujikwamua kwenye hili janga?
Vitu vingine rahisi tu mbona😃daslam ishakuharibu na wew wamekuingiza kwenye utapeli wa ramli😏