Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,652
🔨🤗🤗🤗Kaka popote ulipo agiza chochote nitallipa..umeshaoa?Vipi nawao wanawezaje kuishi na wanaume wenye mdomo??
Jibu ni kidogo tu, kuvumiliana na kubebeana madhaifu.
Kama unavyoona yuko na mdomo nae pia kuna udhaifu fulani kauvumilia kwako ila hajasema tu maana asili ya wanawake ni wavumilivu sana