Wanaume wenzangu njooni tuongee:- Mnawezaje kuishi na wanawake wenye midomo?

Vipi nawao wanawezaje kuishi na wanaume wenye mdomo??
Jibu ni kidogo tu, kuvumiliana na kubebeana madhaifu.
Kama unavyoona yuko na mdomo nae pia kuna udhaifu fulani kauvumilia kwako ila hajasema tu maana asili ya wanawake ni wavumilivu sana
πŸ”¨πŸ€—πŸ€—πŸ€—Kaka popote ulipo agiza chochote nitallipa..umeshaoa?
 
Ni asili yao na hata ukiona anakupigia stori nyiiingiii usije ukadhani mnoko hapana, ni vile Huwa wanatafuta mtu wa kuwasikiliza.
Ni watu wa kuyabebelea rohoni na kuyavundika.
MAISHA YAO YANAONGOZWA NA HISIA.
 
Tangu nilipo soma kwenye biblia kwamba "kusikilizwa ni moja ya hitaji la msingi la mwanamke", basi nilijiridhisha kwamba kuongea sana/kilakitu na wakati wote ni nature ya mwanamke.
Binafsi,Kama mwanamke huwa namuelewa Sana Mwanamme anayenisikiliza......na Kuna baadhi yenu mbarikiwe Sana ni wasikilizaji wazuri saana...Kama wewe umegundua Hilo tayari basi wifi anaenjoy tu
 
nachukia sana hali hiyo ila tunaishi nao kwa akili.

Silaha ya mwanamke ni mdomo.
Sio wanawake wote mjue wana midomo, mimi hua sipendi maneno mengi au mtu kuongea anapayukapayuka napenda nikikosea niambie hapo umeenda sio na elewa na kurekebisha sio kuongea kutwa nzima aah napenda peace sipendi malumbano mimi ila kuna wanaume wanamidomo mwanamke akasome.
 
Binafsi,Kama mwanamke huwa namuelewa Sana Mwanamme anayenisikiliza......na Kuna baadhi yenu mbarikiwe Sana ni wasikilizaji wazuri saana...Kama wewe umegundua Hilo tayari basi wifi anaenjoy tu
β˜ΊοΈβ˜ΊοΈβ˜ΊοΈβ˜ΊοΈπŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€— Natumai na ww ni mpole sana mbele ya mwanaume msikilizaji sio,,,,,,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…