Wanaume wenzangu, tujihadhari na ahadi za rejareja au kuahidi unamuoa mtu

Pearce

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2018
Posts
732
Reaction score
1,746
Wanawake wa siku hizi, Hawataki mchezo kabisa. Na atakuuliza kabla ya kukutana nae kimwili siku hiyo kama utamuoa.

Ogopa sana kutokana na hamuhamu zetu wengi hapo ili tu kuridhisha mwili huwa tunatamka kukubali. Na shida huanzia hapo katika ulimwengu wa roho inakuwa kama kiapo cha neno kinachofuatia agano la damu.

Ijapokuwa mara nyingi sisi wanaume mwanamke utakayemuoa unaweza mtambua mapema sana hasa kwa mapungufu yake kama unaona unaweza yastahi. Na wakumtumia kimwili kukidhi tu haja unamjua na unaweza kutenda vovyote ili kukidhi haja na hapo mtego unapoanza

Nisiwe na maelezo mengi visa hasa vya Wanaume kufariki hasa muda mfupi baada ya kuoa na kuacha wajane ndani ya muda mfupi vimezidi.

Laki I shida inaanzia hapa bora kumwambia mtu ukweli tu, kuliko kumvunja moyo mtoto wa watu. Na wanawake maamuzi Yao huwa yanajaa hisia hashindwi kukuua hata kishirikina kama haupo vizuri au haukukaa na Mungu vizuri.
 
Niliwahi kumpa ahadi ya kumuoa binti mmoja tu tena wakati nikiwa mwanafunzi wa sekondari. Sijui na yeye aliweza vip kuamini kauli yangu.
 
Rubbish!

Wewe umethibitishaje kua Wanaume wengi hufariki baada ya kuoa coz kuna wanawake waliwaahidi ndoa ila hawakuwaoa?
Leta hapa full details za hiyo research yako.

Let argue with fact and reasoning and not fantasie.
 
Back
Top Bottom