No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,785
Hali imekuwa mbaya sana kwa sasa,kila unaemgusa Interview yake Pesa mapenzi baadae.
Ukizingatia na hali ya uchumi kwa sasa hawa watu nimegundua hawana huruma kabisaaa,eti kisa ni wazuri hivi kweli tumekosa mbinu mbadala ya kuanzisha mahusiano bila pesa kuwa kiingilio kama passport.
Hivi mwanamke mmepanga malengo mengi ya kimaendeleo na mnataka kufanya Ishu za maendeleo lakini yeye hatambui Hilo ni mizinga Tu sasa hizo pesa za kukamilisha hayo malengo mtaokota...wakuu makapuku wenzangu tushauriane hali ni mbaya sana...