Kam mwandani wako yko ivo kaa nae mweleweshe hali halisi ilivo... Hataki mwambie asepe, dunia ya sasa c ya kupotezeana muda ktk maswala kam hayo!Hali imekuwa mbaya sana kwa sasa,kila unaemgusa Interview yake Pesa mapenzi baadae. ukizingatia na hali ya uchumi kwa sasa hawa watu nimegundua hawana huruma kabisaaa,eti kisa ni wazuri hivi kweli tumekosa mbinu mbadala ya kuanzisha mahusiano bila pesa kuwa kiingilio kama passport. Hivi mwanamke mmepanga malengo mengi ya kimaendeleo na mnataka kufanya Ishu za maendeleo lakini yeye hatambui Hilo ni mizinga Tu sasa hizo pesa za kukamilisha hayo malengo mtaokota...wakuu makapuku wenzangu tushauriane hali ni mbaya sana...
Mi nahisi kama nina bahati mbaya mkuu kila ninaye =mgusa ndo hivyohivyo...yaani malengo yao ni pesa tu hawaangalii mbele ina maana ni peke yangu Tu!Kam mwandani wako yko ivo kaa nae mweleweshe hali halisi ilivo... Hataki mwambie asepe, dunia ya sasa c ya kupotezeana muda ktk maswala kam hayo!
The boss! Leo umefeli.Kumhudumia mwanamke wako Ni sawa Na chakula.Hapa hatuongelei pesa nyingi.Vile vitu vidogovidogo Na muhimu.Mfano kumpendezesha mpenzi wako...n.k.Au nyie tatizo lenu Ni lipi??? Maana sasa Ni shida.Mbona mnakimbilia Sijui kujenga Sijui future!! Salon , Nywele ya kusukia Na Future wapi Na wapi .Acheni hizo.Mwanamke Ni Pambo la nyumba.Ni jukumu lako kumpamba .Sema siku hizi mmevimba kichwa kwa kuwa Na sisi tunaingia fent font.Basi mnataka kwenda sawa.Sisi tubaki wenyewe, bakini wenyewe.Malalamiko yaishe.Mwanaume wa kweli hakimbii majukumu yake Bali atatafuta njia ya kupanua wigo wake ama VP unamfungulia vyanzo vya mapato mpenzi.Sasa vyote hutoi.Unakuja kulialia Hapa.Aibu!!!!!Ukiona mwanamke hakuhurumii wala kukuelewa ujue hauko moyoni mwake..
bora umwambie ukweli huna aamue kubaki au aende...
Mwanamke akikupenda kweli ataogopa kukupoteza
sio wewe uogope kumpoteza kisa humpi hela kila siku
Gonga sepa!Mi nahisi kama nina bahati mbaya mkuu kila ninaye =mgusa ndo hivyohivyo...yaani malengo yao ni pesa tu hawaangalii mbele ina maana ni peke yangu Tu!
Na kwann iwe ww tu.. Hujajiuliza ivo mkuu? Pengine ww ndo una tatzo ktk choices zako towards unaemtafuta thus unakua unajikuta unaangukia kwa wapiga vznga...Mi nahisi kama nina bahati mbaya mkuu kila ninaye =mgusa ndo hivyohivyo...yaani malengo yao ni pesa tu hawaangalii mbele ina maana ni peke yangu Tu!
kwa hiyo nyie wenzangu hayawatokei haya au ndio Mwafa na Tai shingoni?Na kwann iwe ww tu.. Hujajiuliza ivo mkuu? Pengine ww ndo una tatzo ktk choices zako towards unaemtafuta thus unakua unajikuta unaangukia kwa wapiga vznga...
So, em jichek nawe pia ktk ilo mkuu, mana haiwezekani iwe ni ww tu.. Tafakar kuhusu ilo em
Ukiona mwanamke hakuhurumii wala kukuelewa ujue hauko moyoni mwake..
bora umwambie ukweli huna aamue kubaki au aende...
Mwanamke akikupenda kweli ataogopa kukupoteza
sio wewe uogope kumpoteza kisa humpi hela kila siku
Inaonekana unawaingia kwa mikogo sana...au unakitambi mkuu?Mi nahisi kama nina bahati mbaya mkuu kila ninaye =mgusa ndo hivyohivyo...yaani malengo yao ni pesa tu hawaangalii mbele ina maana ni peke yangu Tu!
The boss! Leo umefeli.Kumhudumia mwanamke wako Ni sawa Na chakula.Hapa hatuongelei pesa nyingi.Vile vitu vidogovidogo Na muhimu.Mfano kumpendezesha mpenzi wako...n.k.Au nyie tatizo lenu Ni lipi??? Maana sasa Ni shida.Mbona mnakimbilia Sijui kujenga Sijui future!! Salon , Nywele ya kusukia Na Future wapi Na wapi .Acheni hizo.Mwanamke Ni Pambo la nyumba.Ni jukumu lako kumpamba .Sema siku hizi mmevimba kichwa kwa kuwa Na sisi tunaingia fent font.Basi mnataka kwenda sawa.Sisi tubaki wenyewe, bakini wenyewe.Malalamiko yaishe.Mwanaume wa kweli hakimbii majukumu yake Bali atatafuta njia ya kupanua wigo wake ama VP unamfungulia vyanzo vya mapato mpenzi.Sasa vyote hutoi.Unakuja kulialia Hapa.Aibu!!!!!
Kwa wengine cwez fahamu... Bnafsi ishawah kunitokea io bt kwa sasa.... Naeza sema nlie nae ni kiongoz mzur, ananimudu nami nammudu then lyf linasonga! ... Jitathmini tu then utagundua ulipojikwaa ni wapi mkuukwa hiyo nyie wenzangu hayawatokei haya au ndio Mwafa na Tai shingoni?
Inategemea unamtongoza kwa gia gani,pia life style yako na story zako zimekaaje,ukikaa kujisifia lazima ulizwe,pia katika chaguzi zako utakuwa unafeli hapo mm lidemu la mizinga nikiliangalia machoni nishalijua hata silisalimii