Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Huyo mtoto sio wa huyo dada wala wa huyo jamaa , huyu ni Chinese pureUyo mtoto mbona kama Wang Xi
Umeandika utoto kama mtoa mada🚮🚮🚮We jamaa unajsifia upuuz, wanawake asilimia 90 niliowahoji wanachukia wanaume weupe. Wanasema kitu black.
Mwanaume gani mkilala kitandani wote mnakana watumia carolight
Wanapenda blaki,ila wanataka vitoto vyeupe vi cute.We jamaa unajsifia upuuz, wanawake asilimia 90 niliowahoji wanachukia wanaume weupe. Wanasema kitu black.
Mwanaume gani mkilala kitandani wote mnakana watumia carolight
Nyani kwa kujifarijiWe jamaa unajsifia upuuz, wanawake asilimia 90 niliowahoji wanachukia wanaume weupe. Wanasema kitu black.
Mwanaume gani mkilala kitandani wote mnakana watumia carolight
Akili yako ni fupi kweli sasa hivi PC zinaangalia pesa sio weusiWe jamaa unajsifia upuuz, wanawake asilimia 90 niliowahoji wanachukia wanaume weupe. Wanasema kitu black.
Mwanaume gani mkilala kitandani wote mnakana watumia carolight
Black bila ela ebu nipeleke ukoWanapenda blaki,ila wanataka vitoto vyeupe vi cute.
Heheeheeee!!!!! Zubaa na weupe huku huna pesa.,......Jibu utalileta.....We jamaa unajsifia upuuz, wanawake asilimia 90 niliowahoji wanachukia wanaume weupe. Wanasema kitu black.
Mwanaume gani mkilala kitandani wote mnakana watumia carolight
Haya mapenzi ya kuangalia pesa nayo sio mapenzi ni utapeli na wizi tu , ni vile basi tu watu wamezoea kuibiwa na kudanganywaHeheeheeee!!!!! Zubaa na weupe huku huna pesa.,......Jibu utalileta.....
Mwanamke ndie kiumbe pekee anayeweza kutengeneza black ikawa white na white black panapo pesa
Ukwel mtupu ebu chukua savana ya baridi naja kulipiaHeheeheeee!!!!! Zubaa na weupe huku huna pesa.,......Jibu utalileta.....
Mwanamke ndie kiumbe pekee anayeweza kutengeneza black ikawa white na white black panapo pesa
Sasa mkuu tutafanyaje imeshakua toratiHaya mapenzi ya kuangalia pesa nayo sio mapenzi ni utapeli na wizi tu , ni vile basi tu watu wamezoea kuibiwa na kudanganywa
Mtajua wenyeweSasa mkuu tutafanyaje imeshakua torati
Ushahuli wako ni muhimu mkuuMtajua wenyewe
Ni utapeli ambao huwezi kuuepuka.... Usidanganywe na mwanamke hapendi pesa ni uooong!!!!Haya mapenzi ya kuangalia pesa nayo sio mapenzi ni utapeli na wizi tu , ni vile basi tu watu wamezoea kuibiwa na kudanganywa
UhakikaNi utapeli ambao huwezi kuuepuka.... Usidanganywe na mwanamke hapendi pesa ni uooong!!!!
Akijifanya hapendi pesa jua uko kwenye target anakulia timing huko mbele atachukua pesa zaidi ya ambazo ungempa tia kwa wakati huo.
Kwangu hapana ,na wala siwezi danganywa ,achukue pesa apeleke wapi wakati wakati lengo la mahusiano ni kujenga kitu kimoja kwa pamoja?Ni utapeli ambao huwezi kuuepuka.... Usidanganywe na mwanamke hapendi pesa ni uooong!!!!
Akijifanya hapendi pesa jua uko kwenye target anakulia timing huko mbele atachukua pesa zaidi ya ambazo ungempa tia kwa wakati huo.
Endelea kuwashawishi na pesaUshahuli wako ni muhimu mkuu