Wanaume Weusi warefu Pokeeni maua yenu

Wewe ni mhitimu wa Cuba kabisa tena ile miaka ya 1962-82 iliyokuwa ina wabobezi.
 
Wacha niibukie pm, hizo sifa tajwa zote ninazo.
Ikiwa ni dume nitamwitie Mzee wa kupambania
Afanye kazi[emoji23]
 
And when will his birthday be? Because when you wait that day, don't be surprised to find your colleagues waiting to go surprise him

We are his family anaomba Kila siku turudiane tulee watoto ila namkomesha tu kidogo[emoji85][emoji85] birthday yake 17th October
 
Nyie watu wewe Kama unafikiria mm mwanaume Sawa kaa kwa kutulia sijaja kubishania gender yangu jamani fikiria unavyopenda kufikiria ww….

Najiandaa kuonana na cheusi wangu tupeane vitu vya j2 tulivu[emoji3059][emoji3059]
Tukomesheeee, tukomesheeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji15] hii si ndo ID imetajwa leo kwenye uzi wa clepatina kuwa ni dume hili linasumbua vijana humu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…