Wanaume Weusi warefu Pokeeni maua yenu

Hapana ni tofauti
wewe huezi kujiona ila kwa uzi huu mimi nakuchana.

maana kwa mwanamke aliyetulia anavumilia mapungufu ya mwanaume wake ila wewe inaonekana kama hujapata mwenye sifa unazozitaka hapawezi kalika utalala hata na wanaume 1000.

umelala na wanaume wangapi ukapata utafiti wako ni kweli ?

una uhakika wanaume wote warefu weusi wako hivo ?
 

Shida iko wapi kwan? Yako ama yangu?? Tusipangiane
 
Id ya kiume hii nimekaa pale
 
Two Possibilities.
1: Wewe ni malaya unajitangaza.
2: Wewe ndiyo huyo "Mwanaume Mweusi" umekuja kujiandika huku kwa ID ya kike.

Pathetic.
 
Khe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tumeyapokea
 
Hahaha ni kweli maana hiyo miaka yote nimekua nakula ya baba watoto tu’ huyu mkaka mweusi at first sight nilimdharau kiukweli ila nilivyokutanisha nae nyama to nyama mmmmhhh mmmhhh ni mtamu bwanaaaa[emoji108]
Duuh
 
Nakupongeza sana!! Binafsi napenda kila mtu aenjoy maisha yake... Na ukipata Fanya saaana! Yaaan Kama haitatokea tena.. mpe anapotaka akupige kweli mashine tena ikiwezekana mpka ushindwe kutembea! Yaani zungush kiuno haswaa!
 
Ungekuwa mke wangu aaa tungeendana!! Tunapeana at least space kidogo! Kwan lazima kila siku pori ilo ilo...
Vitoto vikali ni vingi tusibanane saaana
" Ndo maana wengi huwa tuna safe House na Dark site"
 
umenikumbusha mwaka 2017 hili jibu nilishawahi kujibiwa na demu wangu alikua kicheche hatari nilipomuorodheshea wanaume wote waliopita naye karibu mtaa mzima ambaye hakula ni mzembe tu.

akanijibu hivi hivi yaani [emoji119][emoji1]
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…